Mbowe, mkanye Lissu

Tawile Baba
 
Tundu kipindi cha kampeni alisema amewasamee.
watesi wake lakini kumbe bado ana uchungu sasa sijui angekuwa Rais ingekuwaje.
 
tulieni Lisu awanyooshe na yeye ni binadamu atoe machungu yake moyoni,huu msiba usiwafanye mnahuruma sana
Ukiona mtu anashabikia vitendo vya Lissu, ni sawa na mtu anavyomchochea mbwa kuuma watu wakati yeye hawezi kufanya tendo hilo. Kuna watu wanaweza kazi za aina hiyo. Muacheni Lissu afanye anachokiweza, Akija anataka kazi ya maana kama alivyofanya, tutampa 12.75%.
 
Hakuna mtu aliyewakanya maDc walipoanza kuwacharaza bakora watu hadharani...

Hakuna mtu aliyewakanya viongozi kutoa kauli za kudhalilisha na sifa kwa ajili ya kufurahisha wakuu...

Hakuna mtu aliyemkanya Sabaya kwa alichokifanya kwa Mbowe mwaka jana

Hakuna aliyemkanya Yule Polisi aliyemuambia Mbowe atashindwa uchaguzi....


Hakuna aliyemkanya Mahera kuwapigia CCM kampeni angali yeye hakupaswa kuonesha upande aliopo hadharani....


Hakuna aliyekanya watu waruhusu Lissu kuombewa alivyoshambuliwa...


Tumefika hapa kwa sababu nikuombe utafute sababu usipende kuhamishia vinywaji vyote meza yako pekeyako....
 
We bhana huna experience ya kupigwa risasi 18, kunyimwa matibabu na kunyan'ganwa ubunge. Tena unyamaze kabisa. Hebu kila mtu acheze mechi yake!
 
Hivi nyie mh Lissu mpaka Sasa kivuli chake kinawaandama, wewe unayeandika haya , mpaka unaingia kaburini, hata robo ya robo ya umuhim wa mh Lissu sio KWA tz tu hata nje ya tz hutofikia, huyu sio level zenu,
Naona kimbunga Lissu 2020 Bado kinawapa shida ,leo ukitataka wanasiasa maarufu ,na wenye history ya kutisha, duniani Mh Lissu hakosi,Sasa wewe hata jirani zako hawakujui ukiacha mtaa wako unapoishi,ndo wa kumuandikia Lissu au kumshauri mh MBOWE au Mh Lissu subutu
 
Huu uchungu mlionao leo, mbona hamkuuonyesha wakati watu wanazuiwa kumchangia damu, less na hata kumubea ??!!. Kumbe mkuki daima ni wa nguruwe !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…