Mbowe, mkanye Lissu

Ukiwasikiliza watu wa kibiti walopoteza wapendwa wao ktk utawala wake huu.

Ukiwasikiliza ndugu wa akina ben saa8, ndg wa akwilina, ndg wa azory, kangoye na wengine ndg wa walokuwa wakiokotwa coco beach ktk sandarusi, pia nduguze tundulisu aliyemiminiwa risasi 32 immediate baada ya raisi ktk kikao kudai kuwa watu wanaompinga ktk vita ya kulinda madini ni lzm kuuwawa sincerely watakuombea mabaya na kukulaumu kwa kuandika ugoro ulochanganywa na Mavi as if hujawai kufiwa au kuuguza.

Wape watu uhuru to celebrate.
 
Ni kweli anapaswa kuwa na subira. Hotuba ya Mhe Samia siku ya kuapishwa ni ya matumaini sana.
Kwa maturity yake namshangaa sana, KTN news ndiyo wamemfanya reliable source......utulivu na kutoa pole ungempa credits sana
 
Vaa uhusika wake na upigwe risasi 16, uvuliwe ubunge, unyimwe stahiki zako zilizopo kikatiba!!!. Bado mwenye mamlaka hakuguswa na lolote kuhusu yeye afu unataka ahuzunike na nini kuhusu yeye? Tunaolia ni sisi tusiojua ubaya wa marehemu tuendelee kumlilia ila sio tulazimishe vilio nyeti viwe vya kila mtu.
 
Lisu tulimtengeneza sisi WATANZANIA. Anayoyaongea ni muendelezo wa aliyokua akiyakngelea majukwaani sio mapya
 
Leo kama si kwa Kudra za Mwenyezi Mungu angekuwa marehemu na mngefanya sherehe kuwa kibaraka wa mabeberu amekufa lakini mungu kamwepusha na mikono dhalimu kama ni wewe kwenye tukio hilo ungefanyaje?
 
Ajifunze kwa Mbowe huyu huyu mliyesema mlevi mpaka akavunjika mguu, leo hii mnaomba Lissu aandike mapambio baada ya kumdhihaki Nchi haiwezi ongozwa na mlemavu. Acheni hizo wakuu, tumalizeni msiba salama. JPM apumzike tumpe mama Samia nafasi ya kututoa hapa tulipokwama.
 
Lissu ana akili za kitoto

He is not and he will never be a martuared politician.

Hata Yeriko Nyerere aliyefungwa leo anamzidi Lissu kwa busara.
 
Kwa kuwa hatambui uwezo wa mungu inaweza msaidia pamoja na kwamba wakati anapata hayo masaibu alisema mungu ana makusudi yake kwake na ndio maana hakufa.

Kumbuke pamoja na tabia ya daudi ya kumpeleka mpiganaji wake kikosi cha mbele ili afe na yeye azae na mke wa kamanda wake lakini mungu hakumpa hukumu mbaya daudi kama anavgyodhani lisu.

Kwa hiyo Lisu asidhani mungu anaweza kukidhi hiyo faraja yake, bali anaweza kuona chukizo kwake kwa hiyo fulaha yake.
 
Umeandika nini?upuuzi
 
... Kwa tamaduni, mila na desturi za kitanzania na Afrika kwa ujumla si sawa kushangilia kifo hata Kama mtu alikuwa humpendi kwa kiwango chochote.
Ni kweli kabisa, sio utamaduni wa Watanzania kufurahia kifo cha mwenzako, kiwe cha ugonjwa, au cha kupigwa risasi, au vyovyote vile
 
Any way ila kwa Mimi kama jitu nilinikosakosa kuniua siku likifa ntatamani nipige konzi hadi mait
sawa lakini angalia position uliyonayo!!! Dunia nzima inajua lissu kafurahia hata kabla ya reaction yeyote sasa yeye Ange act tofauti angeonekana shujaa
 
Kwa nini mnahangaika kwenye Twitter ya Lissu kila kikicha?. Kwani CCM - Lumumba hawana account ya Twitter?. Hakuna vitu vyaku-comment huko?. Kwani anawachoma sana mpaka kumpuuzia mmeshindwa?. Nimeamini UKWELI pekee ndio unauma. Kama Lisu angekuwa anaropoka non-sense, ninyi mngempuuzia, ila yanawachoma, mnahangaika mitandaone eti afutwe uanachama, hiyo akili matope?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…