Mbowe, mkanye Lissu

Ile jamaa ni nyeupe haswa.sijui hata kama viongozi wenzie ndani ya chama wanampa heshima kabisa
 
Ni wazi jamaa alikuja kugombea ili kulipiza kisasi, vizuri hakufanikiwa maana ingekuwa hatari zaidi.
Sasa hivi huwezi amini kama ni Mzee wa miaka 50+, ni kama mtoto wa miaka 15 hivi. Anahitaji counseling na maombi maana mentally hayuko fit. Nashauri ni muda sasa yule rafiki ambaye ni Askofu, atumie muda kumuombea sana ili kumponya kiroho.
 
Kwani maumivu ya Risasi Lisu alisikia sawa na Mbowe?
Awezi kumkanya kwasababu maumivu alisikia mwenyewe.
 
Nadhani zile risasi angekua kamufuliwa Baba ako sasa ungechinja mbuzi
 
Mbona umeandika kwa jazba sana tatizo ni nini? Nyie si mlisema huyo ndugu ni mzima wa afya, anatusalimia na anachapa kazi? Kwani sasa kuna nini?
 
Ndugu jiongeze kidogo, unakumbuka vizuri yaliyomtokea Tundu Lissu? Unamfahamu aliyesababisha hayo yamkute?. Rejea hotuba zake utatambua. Kama ulikuwa hujui wapo watanzania wengi tu ambao wamefanya sherehe kuhusu yaliyotokea, wapo wengi wamechinja mpaka ng'ombe. Huo ndio ubinadamu kila mtu ana mapokeo yake kulingana na anavyoguswa. Unapomshangaa T.L, wapo pia wanaokushangaa wewe, mimi nikiwa mmoja wao. Na najua wewe pia utanishangaa mimi, ni kutokana na niliyoyashuhudia ndio maana nami pia ninaungana na walioshereheka
 
Huyo mwache Kama alivyo...ana misheni yake iliyofeli Tanzania...he is not ok kichwani...he is an imperialist stooge...Lissu ataadhibiwa na umma ili liwe somo kwa vibaraka wengine....
 
Wadau wametumia picha kukuelewesha ili na wewe akili zikukae sawa. Natumai umeelewa sasa.
 
Unafikiri alipigwa risasi 12 ili iwe nini
 
Mbona hamkumsema Gwajima na aliyotasema baada ya kifo cha Seif Sharifu? Mnadhani yale ni maneno mazuri ya kusema wakati wa kifo? Au mkuki kwa nguruwe?
 

Attachments

  • VID-20210318-WA0013.mp4
    29.5 MB
Wewe nawe ulisherehekea kifo Cha JPM??...tuanzie hapo Kwanza...
 
Huo utamaduni wa kuungana na kuwa wamoja umeanza lini? Mbona wale ndugu zetu tuliowaokota kwenye viroba hamkuwa pamoja nasi? Mbona akina kwa akina Saa Nane na Azory mlituacha peke yetu tukijiuliza nini kimetokea na wakati huo ninyi wenzetu mligongesha glasi? Kutesa kwa zamu ndugu yangu. Ukigundua hilo kwamba matatizo ni yetu sote hutakuwa mstari wa mbele kumsababishia mwenzio maumivu. Si mlisema hicho ni Chuma, Jiwe?
 
Ina maana mmemshusha Lissu kiasi cha kufikia level gwajima?
Dharau na kebehi ya mwana CCM na mbunge wa nchi kulinganishwa na mpinzani alokuwa nje ya bunge? oh yes jawabu ni ndio. Mkiruhusu wanachama wenu wakebehi kifo cha mpinzani wenu basi na mstahamili mnapokehebiwa vifo vya viongozi wenu.
 
Acha aropoke alikoswa Risasi nyingi mno.
 
Kwaiyo una akili kumzidi Lisu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…