Mbowe, mkanye Lissu

Mbowe, mkanye Lissu

Afadhali umenena, kuna siku nilikuta katweet mambo ya ajabu kuhusu Mh. Rais nikadhani ni account feki.

Hadhi yake na anayoandika hayaendani kabisa.

Alipaswa kuandika ideas na sio kumgeuza chigogwo role model wake.

Huwa simkubali lkn siku hizi anazidi kuwa mweupe sana. Mwambieni atulie aandike vitu ambavyo hata wajukuu wa taifa hili wakisoma waseme huyu ni mtu aliyewahi kuwepo nchini nap kuleta tija

Kama mwanaharakati sawa ila Kama presidential candidate aibu aisee
 
Nimejiuliza sana maswali kuhusu hii behavior ya Lissu, ila jibu moja nililolipata ni kwamba Lissu anajua kabisa uhasama wake na JPM kwa kiasi kikubwa ndicho kilichompaisha yeye kisiasa. Hivyo haoni nini cha kuzungumza zaidi ya kuendelea kuponda hata Marehemu. Hii itamporomosha zaidi
 
Uko sahihi, saizi mchawi technologia......haya mambo ya Siasa unatakiwa umakini sana.........siasa maneno yako yanaweza kukuadhibu baadaye ukaonekana ni mtu wa aina fulani usiyefaa hata kama ulikuwa una nafasi ya kutoboa na ushawishi
 
"Tamaduni zenu...!!???"

My foot.. Hizo tamaduni zenu za kijinga na za kishirikina, ni mbaya, ni chafu. Kaeni nazo menyewe. Zinapaswa kuvunjwa haraka...

Mimi nasema hivi;

Tundu Lissu endelea kusema kila lililo muhimu kwa Tanzania na ulimwengu kusikia...
Ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom