Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comment yako imefunga kazi Mkuu. Hongera sana.Mkanye wewe si ndio unasoma post zake huko mitandaoni,Kila mtu ana Uhuru wa kutoa maoni yake,Wakati watanzania tunamchangia ili aokoe uhai wake baada ya Marehemu na Bunge lake kumkatalia hamkujua kwamba sio utamaduni?
Jamaa sio matuared.....Jamaa ameamua kupambana na marehemu kupunguza maumivu.
Ndo maana tunamfikishia salamu mwenyekiti asipokua makini itakimalizaYote anayofanya Tundu Lisu yana baraka za chama!
Yule ni msomi pia akumbuke alishafikia level ya upresident haimpasi kushindwa kuzuia hisia zakeMwache Tundu lissu ajitibu. aliumizwa sana, aliyotendewa hakuna mtanzania amewahi kutendewa ndani ya nchi yake.
I hope so!Chadema wana akili hawawezi kumsimamisha Tundu Lisu 2025!
Upuuzi mtupu huoComment yako imefunga kazi Mkuu. Hongera sana.
Naona spana zake zimewapata hata walikuwa wapo uvunguniLissu waue baba.
MATAGA sasa yanamchukia kila mtu anayewakosoaAcha kupanick.
Kwahiyo hiyo ndiyo itakuwa dawa ya Corona?Sema ana jua hawezi kuja kua raisi kashavjikatia tamaa[emoji28][emoji28]ata reaction kwenye post zake sio nyingi sana
Mwambie ukweli huyo MATAGAKwenye msiba ndio mnakuwa wamoja msijifanye mnahuruma sasahivi muwakatili sana.
Ubarikiwe sana"Tamaduni zenu...!!???"
My foot.. Hizo tamaduni zenu za kijinga na za kishirikina, ni mbaya, ni chafu. Kaeni nazo menyewe. Zinapaswa kuvunjwa haraka...
Mimi nasema hivi;
Tundu Lissu endelea kusema kila lililo muhimu kwa Tanzania na ulimwengu kusikia...