Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Lissu piga spana za vichwa mpaka akili ziwakae sawa.
Halafu baadae aje awaombe kura hao hao Wananchi ambao anatrigger emotions zao? Nilikuwa ni shabiki mkubwa sana wa Lissu na niliumia sana alivyopigwa risasi,kukaa kwake kimya kwa sasa kungepandisha hadhi yake zaidi kuliko huu upuuzi anaofanya,amefanya nianze kufikiria mara mbili kama nilikuwa sahihi kumsuport huko nyuma. Trust me,Mbowe is a real Man na Lissu anaonekana mpuuzi tu kwa sasa! Kunyamaza kungempa heshima zaidi. Endeleeni kumpump,come 2025 kama atakuwa ndiye Mgombea,CDM itaangukia pua tena.