Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Mbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji.
Mbowe pia ametoa rai kwa viongozi wa CHADEMA siku 12 kuanzia sasa kuja Dar kwaajili ya kupeana mikakati muhimu kwa hatua zaidi.
Soma Pia:
=====
"Kisiasa, n ani vyema mkasikia bunge la Tanzania, mwaka jana (2023) katika mabadiliko ya sheria ya usalama wa taifa ilipeleka usimamizi ya idara ya usalama wa taifa moja kwa moja Ikulu kusimamiwa na Rais, na sheria ile ilitoa kwa mara ya kwanza haki ya watu wa usalama wa taifa kukamata watu, kuwaweka kizuizini, bila kueleza mahali popote wala bila kushtakiwa.
"Sheria hii ilivyopitishwa Rais aliipitisha na akajimilikisha mamlaka ya usalama wa taifa. Sasa mimi kwa niaba ya CHADEMA na vikao na vikao vyangu, tuna declare mtu wa kwanza kuwajibishwa katika masuala hay ani Rais Samia Suluhu Hassan.
"Na sisi tunasema tunaanza moja kwa moja kampeni inayoitwa ‘Samia Must Go’, hiyo ndiyo rai yetu. Sasa basi, kwasababu bado tuna msiba, tumekubaliana kwamba tuna msiba kwasababu kuna viongozi wetu hatujui wako wapi. Kwahiyo sisi kama chama hatujamaliza msiba. Tutaendelea na msiba wetu kitaifa na bender azote za chama zitapeperushwa nusu mlingoti hadi tujue watu wetu wako wapi, wako hai au mauti
"Lingine, kuanzia siku ya Jumatatu, tar 23/9/2024 mkumbuke nilitangaza tar 21 tunategemea tuone hatua za watu kuwajibika zimeanza. Kama hawatachukuliana hatua wenyewe kwa wenyewe, sisi kuanzia tarehe 23 jiji lote la Dar es Salaam, kila kata kila mtaa.. ndugu zangu tumekuwa tunafanya utani mara nyingi, lakini kwa wakati huu hatuna utani.
"Kuanzia jumatatu sisi tutaingia barabarani kudai tunachoona ni uhai wa watu wetu waliopotenzwa unless serikali imechukua hatua za haraka na za makusudi kuwarejesha, watu kujiuzulu na watu wote kuwajibika kwa mujibu wa tamko letu la leo." - Amesema Mbowe katika mkutano kwenye ofisi za CHADEMA, Mikocheni leo 11/9/2024

- Freeman Mbowe: Scotland Yard ya Uingereza ichunguze Matukio ya Utekaji na Uuaji nchini
- News Alert: - Freeman Mbowe: Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho
- Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
- Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana