kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Msilete mambo ya Kenya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
apoo sasa angalau wanaonekana maana tulianza kuzan wanaogopa na wamenyosha mikono bt she must GOMbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji.
Mbowe pia ametoa rai kwa viongozi wa CHADEMA siku 12 kuanzia sasa kuja Dar kwaajili ya kupeana mikakati muhimu kwa hatua zaidi
Wenye "Ruto Must Go" hawakufanikiwa ndiyo waje kufanikiwa watanzania? Watanzania wakiamzisha hiyo ya "Samia Must Go" dunia nzima itajua wanafanya maigizo ili wapate viewers mitandaoni.Mbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji.
Mbowe pia ametoa rai kwa viongozi wa CHADEMA siku 12 kuanzia sasa kuja Dar kwaajili ya kupeana mikakati muhimu kwa hatua zaidi
Kizimkazimust go to where???
Unafikiri walinda legasi wanamuunga mkono?Nadhani hiyo ni wrong approach ambayo itasababisha ccm wote waungane kumtetea m/kiti wao. Nice approach ni kumgombanisha sa100 na wanaccm wenzake.
Watoto wa mama ati watekwe.Kwani wana CCM hawatekwi
Papoma lililokubali kuwa papai...Mbowe Kwa kuwajaza nyumbu wake, hua ni mtaalamu sana
Mbowe ni mtu mwema na hataki damu imwagike. Angekuwa na akili kama zenu CHADEMA kingeshakufaWenye "Ruto Must Go" hawakufanikiwa ndiyo waje kufanikiwa watanzania? Watanzania wakiamzisha hiyo ya "Samia Must Go" dunia nzima itajua wanafanya maigizo ili wapate viewers mitandaoni.
Miaka hii ni nadra sana kwa nafasi kujirudia mara mbili. Walipoitisha Opareshini Ukuta kipindi kile cha Magufuli, wanamchi waliitika sana, Mbowe akafanya kosa kubwa sana la kusimamisha maandamano yale kisa viongozi wa dini walimwita na kumtaka ayasitishe na kwamba kama ana madai wao watayapeleka kwa rais.
Mara ya pili ni hapo juzi kwenye maziko ya Ally Kibao kule Tanga, Public ilishapata joto la asili, yeye akaleta busara zisizo na lazima akapooza joto lile pasipo sababu. Hilo ni kosa kubwa sana.
Pamoja na uzuri wake, hakuna jambo atalifanya Mbowe katika siasa za sasa likafanikiwa. Simshauri maamuzi gani afanye, bali namshauri asome na kupuma alama za nyakati. Siasa za hivi sasa hazihitaji busara ndiyo maana CCM na serikali hawasiti kuua yeyote pale inapohitajika
Uhaini kufanya nini?Huo ni uhaini. Ninawashauri waachane na hilo wazo.
Labda kizimkazimust go to where???
Usifikiri kila mtu ni CHADEMA kuku wewe.Mbowe ni mtu mwema na hataki damu imwagike. Angekuwa na akili kama zenu CHADEMA kingeshakufa
Tuondolee upumbavu wako hapo nyie mnaoteka na kuwaua wanachadema ndiyo mnaivuruga nchiCHADEMA MSIJARIBU KUVURUGA AMANI YA NCHI
😂 Dah ww jamaa bhanaJeshi likiamua kumpindua?
Huu ni uamuzi sahihiMbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji.
Mbowe pia ametoa rai kwa viongozi wa CHADEMA siku 12 kuanzia sasa kuja Dar kwaajili ya kupeana mikakati muhimu kwa hatua zaidi.