Pre GE2025 Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Njia pekee ni pressure tuuu huyu bibi atasusa na kujiondokea. Mapinduzi au mbinu yoyote ya aina yake haifai hata kidogo kwa nchi tuliyochagua kujitawala kidemokrasia na amani.

Muhimu ni hiyo political pressure bi hangaya asusie mkate kwa amani au 2025 tumdondoshe kwenye sanduku la kura!
 
Umemaliza yote.
Njia ya kwanza ni nguvu ya umma

Atuachie nchi. Tupate katiba mpya nsipo tuwe na tume maridhawa ya uchaguzi
 
Nasubiri kama kuna Chawa Smart atakayeweza kupinga hivyo vifungu kwa hoja tofauti na kuandika Mitano tena.
 
Labda iwe mbowecdm must go
 


Mbali na mauaji, Utekaji na Uhalifu wa serikali dhidi ya watanzania ambao wamekosa amani katika nchi yao
1. Ajira hakuna vijana wanateseka mtaani
2.Huduma za afya ni mbovu, Bima ya afya kwa watoto irudishwe
3.Matumizi ya hovyo ya fedha za umma kwa ziara zisizoisha na zisizokuwa na tija kwa taifa
4.Katiba mbovu inayopelekea utawala wa chama kimoja huku tume ya uchaguzi ikiwa haina uhuru wa kweli
5.Wizara TAMISEMI kusimamia chaguzi za SM
6.Bandari kuuzwa kwa waarabu
7.Wamasai kunyang'anywa ardhi yao ya asili

Kwa hayo machache 'Samia Must Go" inapaswa kuungwa mkono na mtanzania yeyote mzalendo anayeipenda nchi yake.Ni haki yangu kikatiba. Tukutane 23/09/2024

 
Watanganyika wengi wetu ni waoga sana, ingewezekana ingekuwa poa sana.
 
Watanganyika wengi wetu ni waoga sana, ingewezekana ingekuwa poa sana.
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜นSamia must go ukae ww au๐Ÿšฎ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hatupendi shazi bana sisi kaandamane mwenyew uko..Tena taratibu msitupigie kelele๐Ÿ‘
 
Tushakod Gen z kutoka kenya watatu tu wanatosha kukiwasha hapo kati...
...sa100 must go...
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜นSamia must go ukae ww au๐Ÿšฎ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hatupendi shazi bana sisi kaandamane mwenyew uko..Tena taratibu msitupigie kelele๐Ÿ‘
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
ZINGATIA Slogan
"UOGA WETU NDIYO SILAHA YAO"...
Imekaa kimagumashi sana
 
hakuna muandamanaji hapo, utaishia humu huku kupost picha kutoka Twitter.
 
Haijulikani ni shinikizo la wafadhili wao, imani potofu za kishirikina, ramli au muujiza umewatokea...

Hata hivyo awali kulika na migawanyiko baina ya viongozi waandamizi wa Chadema kuhusu slogan ya Samia must go, kwamba kivyovyote Lazima itaambatana na fujo na isingewezekana kua ya amani.

Lakini viongozi wengine walienda mbali zaidi na kudai kwamba tangazo la maandamano lilifanyika kwa mihemko bila tahmini ya kina, na hivyo Samia Must Go Ilikua ni kwenda kinyume na misingi ya kidemokrasia ya chama hicho..

Kupitia barua yao ya usiku wa manane kwa jeshi la polisi iliyoonekana leo, inaonyesha kuna mabadiliko ya kimyakimya au ya kuzinduka usingizini yamefanyika dhidi ya dhima, dhumuni na nia ya maandamano ya kuvuruga amani ya fujo ya Samia must go.

Sasa eti yamebadilika na kua sijui maandamano ya nini vile? Huenda Chadema hawajui hata wanadai wala wanatetea nini. Na Tatizo ni dhahiri Uongozi wao..

kiufupi kwa maoni yangu hawezi kufanikiwa wala kuruhusiwa kuandamana kabisa.

Na upo uwezekano mkubwa sana wakaahirisha maandamano hayo, kwasababu moja haikai, mbili haikai miongoni mwao.๐Ÿ’

Mungu Ibariki Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ