- Thread starter
- #21
Sufficient evidence that he is a FREEMAN is here.
Mwendazake akaitaa fursa hiyo ya kujitengenezea legacy. Kwa mara nyingine SSH naye anaikataa fursa hiyo.
Wako kama wamerogwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sufficient evidence that he is a FREEMAN is here.
🤣Tokea katika maneno kuntu ya captain Komba (rip), sote tu yatima kwa kuondokewa na baba wa taifa Mwalimu Nyerere. Si kwa maana yako hiyo finyu kama unavyo taka kulazimisha 😂😂😂!
Ndiyo maana wimbo ule uko pale kabla ya kuhitimishwa na uyatima wa Mbowe wako, wangu na wa Mtanzania yule.
JPM yupi aliyekuwa haandami watu? Huyu huyu aliye wapoteza kin Ben na kina Azory? Huyu huyu ambaye shambulizi la Lissu kwa muono wake halikuwahi kutokea?
Huyu huyu aliyewafanya mabalozi wa Germany, Belgium na Marekani kugeuka mabaunsa kumsindikiza Lissu njevya nchi vinginevyo kesi ya ugaidi kama ya Mbowe leo kama si kutakatisha pesa, madawa ya kuleta au umuhimu uchumi naye ingemhusu?
JPM yupi unayemwongelea wewe? Huyu huyu aliyepumzika kule Geita?
Kwani mambo yale mambo ya legacy unayasoma au kuyasikia tena? Au basi, hata Diallo mwenyekiti wako wa CCM Mwanza hukumsikia?
Kama ni huyo ndiye unayemwongelea wewe, basi kumbuka alikuwa na faili Mirembe. Kwa mujibu wa maelezo ya Diallo, tulikuwa na rais kichaa!
Madhara aliyoliachia taifa hili hayapimiki. Angalia vifo vya Corona ambavyo vingeweza kuepukika. Angalia alichorithisha watu kuhusiana na Corona.
Leo hii wizara ya afya na serikali wanaanzia wapi kuwahitaji wale aliowaita wanyonge kuchukua tahadhari? Au hata chanjo inafikishwaje kwao?
"JPM huyo anajulikana kwa kubambika watu kesi, kudhulumu mali na hata maisha. Mbowe hakuwa exempted kwenye hayo."
Msikilize Komba ukaujue uyatima wa wako na hata wa Mtanzania mwenye miaka 100:
".
Tulikuwa naye siku zote za mapambano:
Mwenzetu,
Ndugu yetu,
Mwalimu Nyerere.
Ametuondoka wakati tukimhitaji:
Mwenzetu,
Ndugu yetu,
Mwalimu Nyerere.
Sasa Twende wapi tukapate ushauri:
Mwenzetu,
Ndugu yetu,
Mwalimu Nyerere.
Kiza kinene kimetanda hatuna pa kukamata:
Mwenzetu,
Ndugu yetu,
Mwalimu Nyerere.
.
.
"
🤣🤣Sabaya akienda jela, mama anaupiga mwingi. Mbowe akienda mahabusu mama ni dikteta... Yaani wanampangia rais cha kufanya.
Samia anaipeleka nchi siko kabisa ashauriwe na apokee ushauri la sivyo atakuwa mwanamke wa kwanza Tanzania kichukiwa.Dunia ya Mungu ina mengi. Ndiyo maana waungwana walisema ukiyastaajabu ya Mussa jiandae kuyaona ya Firauni.
Inasemekana Freeman Aikaeli Mbowe alikuwa mtoto wa ubatizo kwa hayati baba wa taifa ambaye ndiye aliyempa jina Freeman, akimhusisha na siku aliyobatizwa:
View attachment 1865269
Kwamba pia Makongoro Nyerere alikuwa mtoto wa ubatizo kwa baba yake Mbowe.
Lisemwalo lipo na kama halipo basi linakuja nyuma.
Kua uyaone.
Miaka 60 baadaye yatima huyu mwenye malezi yenye mafungamano na pande za Magogoni amegeuzwa leo kuwa gaidi hatari wa kiwango cha akina Osama bin Laden na serikali ya mheshimiwa SSH:
View attachment 1865295
Yote hii ikiwa ni fitina na figisu za kisiasa zitokanazo na yeye kupanga kushiriki kongamano la kudai katiba mpya, jambo ambalo si kosa kwa mujibu wa katiba.
Imefanana sana na yule mwenye shamba la mizabibu aliyelazimika hatimaye kumtuma mwanawe kwenda kuchukua sehemu ya yaliyokuwa mazao yake (Mathayo 21:33-46):
"Lakini wale wakulima walipomwona mwanawe wakasemezana wao kwa wao: ‘Huyu ndiye mrithi; na tumuue ili tuuchukue urithi wake!’ Basi, wakamkamata, wakamtoa nje ya lile shamba la mizabibu, wakamuua."
Eh Mola wetu na ukamsimamie Freeman Aikaeli Mbowe kokote kule aliko ukiwalipa watesi wake sawa sawa na matendo yao.
View attachment 1865270
mtaani sioni watu wakiandamana kwa zuma SA
acheni ujinga nyie, Mbowe hana impact TZ
kapuuzwa
JPM JPM
ashakufa, kisa alikufukuza na vyeti feki?
iangalie CCM ndio tatizo
jinga wewe, lipost zima.marehemu tu?
Kwani uyatima unasababishwa na umri?Mama Maria Nyerere yupo.....
Mh.Makongoro Nyerere yupo...
Mh.Mbowe aliondoka nchini hapa kwa kudai kuandamwa na SERIKALI....
Ikumbukwe Serikali hiyo ilikuwa chini ya JPM....Rais ambaye alikuwa yuko karibu Sana....karibu mno mno mno na mama Maria Nyerere.....
Ninaamini katika mazungumzo yao alikuwa anamgusia HISTORIA YA NCHI HII.....marafiki wa karibu wa baba wa taifa ,familia zao,wake zao na matukio makubwa ya familia zao.....
Imekuwa ikisemwa kuwa Baba wa taifa hayati JKN alikuwa karibu Sana kifamilia na watoto wa :
1)John Rupia
2)Familia ya Sykes(Abdulwahid &Ali)
3)Hamza Mwapachu(watoto wake Bakari na wengine).
WAFUATILIE WATOTO WOTE HAO na kiitwacho UKARIBU WA FAMILIA YA Haikaeli Mbowe NA FAMILIA YA HAYATI JKN....
N.B: Mkuu Brazaj ,je YATIMA si "orphan"?!!!
Kuna YATIMA ana umri wa miaka 60 ?!!!!
#NchiKwanza
#JMTMilele
Kwa hiyo tulitumie hilo neno kwa kikongwe wa miaka 100?!!
Mpaka sasa moja jumlisha moja ni kumi na moja.Sufficient evidence that he is a FREEMAN is here.
haa weee expert sio JF expert unamwaga ushuzi huu?Kamfufue kwani kuna aliyekukataza?
Aliniulia ndugu yangu. Kazi? Kazi kitu gani? Unadhani kila mtu anaabudu viajira vya kishamus kama wewe?
View attachment 1865894
Kawaambie vi ID vyenye hivi vi Rabia almaarufu kama wave #3 siyo dili!
Sufficient evidence that he is a FREEMAN is here.
si mumeo na wewe unafyeka nyasi kwake?
mbowe hawezi, kuwa na hana lolote nchi hii
mahaba tu
ushaenda kumwona sero? ushaandamana? unampenda kivipi?
Sisi vijana, na yeye ni Mama, tukimzingua tunazinguana...