- Thread starter
- #41
si mumeo na wewe unafyeka nyasi kwake?
mbowe hawezi, kuwa na hana lolote nchi hii
mahaba tu
ushaenda kumwona sero? ushaandamana? unampenda kivipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si mumeo na wewe unafyeka nyasi kwake?
mbowe hawezi, kuwa na hana lolote nchi hii
mahaba tu
ushaenda kumwona sero? ushaandamana? unampenda kivipi?
Rest In Peace CHACHA ZAKAYO WANGWEDunia ya Mungu ina mengi. Ndiyo maana waungwana walisema ukiyastaajabu ya Mussa jiandae kuyaona ya Firauni.
Inasemekana Freeman Aikaeli Mbowe alikuwa mtoto wa ubatizo kwa hayati baba wa taifa ambaye ndiye aliyempa jina Freeman, akimhusisha na siku aliyobatizwa:
View attachment 1865269
Kwamba pia Makongoro Nyerere alikuwa mtoto wa ubatizo kwa baba yake Mbowe.
Lisemwalo lipo na kama halipo basi linakuja nyuma.
Kua uyaone.
Miaka 60 baadaye yatima huyu mwenye malezi yenye mafungamano na pande za Magogoni amegeuzwa leo kuwa gaidi hatari wa kiwango cha akina Osama bin Laden na serikali ya mheshimiwa SSH:
View attachment 1865295
Yote hii ikiwa ni fitina na figisu za kisiasa zitokanazo na yeye kupanga kushiriki kongamano la kudai katiba mpya, jambo ambalo si kosa kwa mujibu wa katiba.
Imefanana sana na yule mwenye shamba la mizabibu aliyelazimika hatimaye kumtuma mwanawe kwenda kuchukua sehemu ya yaliyokuwa mazao yao (Mathayo 21:33-46):
"Lakini wale wakulima walipomwona mwanawe wakasemezana wao kwa wao: ‘Huyu ndiye mrithi; na tumuue ili tuuchukue urithi wake!’ Basi, wakamkamata, wakamtoa nje ya lile shamba la mizabibu, wakamuua."
Eh Mola wetu na ukamsimamie Freeman Aikaeli Mbowe kokote kule aliko ukiwalipa wote walio watesi wake, sawa sawa na matendo yao.
View attachment 1865270
Good jamaa ana historia nzuri snDunia ya Mungu ina mengi. Ndiyo maana waungwana walisema ukiyastaajabu ya Mussa jiandae kuyaona ya Firauni.
Inasemekana Freeman Aikaeli Mbowe alikuwa mtoto wa ubatizo kwa hayati baba wa taifa ambaye ndiye aliyempa jina Freeman, akimhusisha na siku aliyobatizwa:
View attachment 1865269
Kwamba pia Makongoro Nyerere alikuwa mtoto wa ubatizo kwa baba yake Mbowe.
Lisemwalo lipo na kama halipo basi linakuja nyuma.
Kua uyaone.
Miaka 60 baadaye yatima huyu mwenye malezi yenye mafungamano na pande za Magogoni amegeuzwa leo kuwa gaidi hatari wa kiwango cha akina Osama bin Laden na serikali ya mheshimiwa SSH:
View attachment 1865295
Yote hii ikiwa ni fitina na figisu za kisiasa zitokanazo na yeye kupanga kushiriki kongamano la kudai katiba mpya, jambo ambalo si kosa kwa mujibu wa katiba.
Imefanana sana na yule mwenye shamba la mizabibu aliyelazimika hatimaye kumtuma mwanawe kwenda kuchukua sehemu ya yaliyokuwa mazao yao (Mathayo 21:33-46):
"Lakini wale wakulima walipomwona mwanawe wakasemezana wao kwa wao: ‘Huyu ndiye mrithi; na tumuue ili tuuchukue urithi wake!’ Basi, wakamkamata, wakamtoa nje ya lile shamba la mizabibu, wakamuua."
Eh Mola wetu na ukamsimamie Freeman Aikaeli Mbowe kokote kule aliko ukiwalipa wote walio watesi wake, sawa sawa na matendo yao.
View attachment 1865270
Rest In Peace CHACHA ZAKAYO WANGWE
Kaka mbona unamdhalilisha "jingalao" namna hii? Umeshawahi kuona "jingalao" ame-comment kwa kiingereza mahali popote? Kilangila.That's all you can say...!!!
Huna aibu wewe? Mwenzio katoa hoja, wewe unatoa matusi! Kilangila.fala wewe, amka asbh mpelekee mbowe hata buku kumi tu
wajinga mko kwenye keyboard eti wapigania haki
Amewapa hoja wale wanao amini katika "Mfumo Dume". Kilangila.Samia anaipeleka nchi siko kabisa ashauriwe na apokee ushauri la sivyo atakuwa mwanamke wa kwanza Tanzania kichukiwa.