Mbowe must go, hatukutaki!

Wanaccm mnaajenda ovu, mmetuibia sasa mnaleta ajenda ovu ili maovu yenu yasijadiliwe
Wewe si mwanachama wala hauna kadi ya Chadema unakuja kuingilia mambo ya Chadema bafala ya kuzitaka familia za viongozi kunimilikisha chama chenu kwa kuteuana na kuajiliana kifamilia.
 

Kizimkazi must go
 
Chukuwa fomu kama alivyofanya Sugu kumng'owa Msigwa.

Uchaguzi ndio fursa muhimu ya kumng'oa kiongozi ambaye hatakiwi.

Chukuwa fomu mkuu umng'owe Mbowe kidemokrasia.
 
Amemsamehe Rais Samiah Baada ya kumdhalilisha kwa kumuita gaidi mbele ya Dunia nzima.
 
Hongera sana . Umeandika kifalsafa Sana.
 
Na hasa ikizingatiwa kuwa wote wanaopiga kelele za Mbowe must go ni maccm kwa ushahidi wa hawa wa hapa JF,Mbowe akiondoka ina maana anatii shinikizo la maccm ambao ni maadui namba moja wa Chadema. Mimi ni mwanachama hai wa Chadema na ningependa tuwe na mwenyekiti mpya lakini kwa shinikizo hili la wanaccm nasema Mbowe aendelee at least hadi baada ya uchaguzi mkuu wa 2025 ndiyo aitishe uchaguzi. Haiingii akilini CCM ndiyo watushinikize jinsi ya kuendesha chama chetu. Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti hajavunja Katiba. CCM mkome kabisa kuingilia mambo ya ndani ya Chadema.
Hata huyo mbilikimo wenu aliyekuwa houseboy wa mzungu anayeendelea kumtukana mwenyekiti wetu anafanya kosa la jinai na uchochezi kuingilia mambo ya ndani ya Chadema. Muonyeni kabisa Msigwa azungumzie mambo ya CCM akome kabisa kumtukana mwenyekiti wetu. Inaoneka CCM kimekuwa kigenge cha wahuni kumuandalia Msigwa mikutano na kusomba watu waje wamsikilize anavyoitukana Chadema badala ya kueneza sera za CCM.
 
Wewe sio mwanachama wa chadema mbowe must go
 
Watu wengi wamekuwa wakiwaelekezea chadema wapambane huko kwanza, ngazi ya shina. Ww si wa kwanza
It up to them sasa waaikilize au wasisikilize
 
Atawapa tabu sana, bado anahitajika sana na katiba inamruhusu, asiyemtaka ndiye asepe
 
Hotuba za kuchafuana hazichelewi kuwauzi watu. hawajui watanzania. sympathy itahamia kwa Mbowe aliyefungwa kwa kusingiziwa gaidi. huyu bwana ameumia sana na anaendekea kuumizwa na akina Msigwa- Kambona msaliti wa Nyerere. anawataja akina Lissu,Mnyika,Heche, Lema ili akipasue chama. ulikuwa wapi kuyasema yote hayo ukiwa huko. huaminiki tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…