Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Wanaccm mnaajenda ovu, mmetuibia sasa mnaleta ajenda ovu ili maovu yenu yasijadiliweNilitoka kusema huyu mzee tangia ujanani mwake mpaka sasa hivi amezeeka amekuwa aking'ang'ania hiyo nafasi ya Uenyekiti ili aendelee kupiga mabilioni ya ruzuku.
Sasa leo watu wamempa makavu kwamba asepe, yaani mtu kwenye chama tu hutaki kuachia madaraka ukipewa nchi si yatakuwa ya Mugabe.
Aisee wewe Mbowe ondoka, tumekuchoka, tafuta kazi ya kufanya, achia ngazi sababu wewe ni kibaraka wa CCM.
#MboweMustGo
Wewe si mwanachama wala hauna kadi ya Chadema unakuja kuingilia mambo ya Chadema bafala ya kuzitaka familia za viongozi kunimilikisha chama chenu kwa kuteuana na kuajiliana kifamilia.