Mbowe must go, hatukutaki!

Ona hulili zombie nalo. Sisi tunataka chadema na hatutaki isambaratike kwa namna yoyote ila hatumtaki mbowe tu. Kwani bila mbowe chadema haipo?
 
Anakusanya kodi?
 
Ona hulili zombie nalo. Sisi tunataka chadema na hatutaki isambaratike kwa namna yoyote ila hatumtaki mbowe tu. Kwani bila mbowe chadema haipo?
Tumia katiba kumwondoa Mbowe siyo longolongo hicho ni chama cha demokrasia
 
Aondoke aende wapi wakati chama ni chake?. Kama ni kuondoka, wataondoka watu wa kuja na kuwaachia chama wenyewe wenye chama chao!. Utaondoka wewe na yeye utamuacha!.
P
Vyama vya siasa Tanzania vina wenyewe, hali hiyo hutokana na mambo mawili;
1. Umasikini wa fikra kwa walio wengi.
2. Umasikini wa mali (uchumi) kwa walio wengi pia.
Wenye vyama wanaweza kuwa wa muda fulani (CCM yenye madaraka ambayo ni ya urithi kwa wengi, mwenye nguvu atamiliki kwa wakati wake), wa maisha (upinzani ambao wa kurithishwa hawajawa wengi, hawana madaraka na hutegemea zaidi nguvu za uchumi binafsi).

Kwa kuwa wengi hukimbilia kwenye siasa kama njia ya moja kwa moja ya kujikomboa kiuchumi binafsi, mapambano kati ya wana siasa wenye vyama na wenye njaa ni dhahiri.
Hata hivyo, wenye njaa kali hawana ubavu katika siasa za upinzani (kusikokuwa na madaraka), salama yao ipo kwenye chama chetu cha urithi (CCM).
Wenye vyama, hasa vya upinzani, wanastahili pongezi na kutiwa moyo, kwani siyo rahisi kujenga chama kwenye jamii huru yenye umasikini wa fikra na mali (Ilikuwa rahisi kwa wassisi wa taifa, mapambano yalikuwa dhidi ya mkoloni ambaye hakuwa mwenzetu).
 
Bila Mbowe hakuna upinzani Tanzania!
 
Mtaangaika sana na mbowe hadi mate yawakauke.Nchi imewashindeni mnaangaika na mbowe.
 
Juzi uliswma weww huwezi andamana leo unatembeza #
 
Tanesco wamekata umeme inalaumiwa TV kwanini haina powerbank
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…