Mbowe na CHADEMA mnawaharibu vijana na uukuzi wao wa kitaaluma kwa kuwadanganya siasa ni taaluma


..hali za wanataaluma wanapostaafu zikoje?

..Na hali za wabunge wanapostaafu zikoje?

..wabunge wanalipwa na kumotishwa vizuri kuliko wanataaluma wengi hapa nchini.
 
..hali za wanataaluma wanapostaafu zikoje?

..Na hali za wabunge wanapostaafu zikoje?

..wabunge wanalipwa na kumotishwa vizuri kuliko wanataaluma wengi hapa nchini.
wanahali nzuri maisha yamenyooka- ila wabunge yanapanda juu na kushuka ghafla- hivi unajuwa Mbowe ilibidi awachangishe wabunge wote wa CHADEMA ili kumsaidia Kiwia kulipa karo za watoto wake baada tu ya ubunge
 
Hujui lolote wewe. Chadema ni kubwa kuliko mdee. Na mwita. 2000s fuatlilia siasa za DARUSO.acha kubwabaja kijana mdogo na shule zako za st.
Hayo maneno unaniambia mie au Masiya wako Gaidi Mbowe?
 
Hayo maneno unaniambia mie au Masiya wako Gaidi Mbowe?
Gaidi ni nani? Soma sheria ya ugaidi ya Tanzania. Rejea tafsr ya neno gaid kayo. Tatizo halijawahi kuwa neno gaidi duniani... tatizo ni uislam siyo ugaidi.... jifunze kujenga hoja acha kuwa kasuku! Mbowe ni gaidi kwa hukumu ipi? Iliyohukumiwa na mahakama ipi? Lini na wapi?
Gaidi anakaribishwa ikulu? Tena akitokea wanapokaaa magaidi?
Unamdanganya nani?
 
wanahali nzuri maisha yamenyooka- ila wabunge yanapanda juu na kushuka ghafla- hivi unajuwa Mbowe ilibidi awachangishe wabunge wote wa CHADEMA ili kumsaidia Kiwia kulipa karo za watoto wake baada tu ya ubunge

..mtu anapokuwa mbunge inabidi ajipange ataishi vipi atakapoacha ubunge.

..wahusika wakilielewa na kulifanyia kazi hilo wataweza kuyamudu maisha baada ya ubunge.

..wastani wa mtu kuwa mbunge ni miaka mingapi? Ni vizuri sana jambo hilo likaeleweka.

..hali uliyoizungumzia inawakuta hata wanamichezo kama wa mbio, kikapu,...ambao hulipwa fedha nyingi wanapokuwa ktk top form lakini wanapochuja na kustaafu wanaanguka kiuchumi.

..tatizo hilo ni combination ya mambo mengi ikiwemo, matumizi mabaya ya kiholela ya fedha, kuwekeza ktk miradi ya ujanja-ujanja, kutokujiandaa mapema kwa maisha ya kustaafu, etc etc.

..kama ambavyo career ya mwanamichezo inaweza kukatika ghafla kutokana na kuumia [ career ending injury], wabunge nao wanapaswa kujua kwamba wanaweza kutumikia kwa miaka 5, wakibahatika ni miaka 10.
 
We nawe ni chenga tuu, siyo kila anayesoma anategemea kuja kuomba ajira
 
Hakuna aliyerubuniwa na marehemu mwenye heshima mbele ya jamii. Ukishikamana na shetani, kamwe usitegemee heshima.
 
Wewe ni kijani chochote watakachofanya Chadema na hasa huyo Mbowe ni lazima utakiponda tu ndipo furaha yako ikamilike.

Kufikiri kwamba wenye mawazo tofauti na wewe hawajielewi ni kutokujitendea/kutendea wengine haki

Angalia usijekuta wewe ndio hujielewi, samahani lakini huwa sipendi kutumia maneno yenye kuudhi, baki kama ulivyo tusipangiane cha kufikiria/kuamini
 
Wewe inajulikana una chuki kali sana na huyo mchaga sijui alikukosea nini
 
Siasa bila biashara nyingine ya kukuingizia kipato ni sawa na Uchawi
Habari hizi zimfikie bwana polepole popote alipo bila kumsahau albaata bashite, saabaya ndg jamaa na wengineo popote walipo
 
Achana naye huyo ni mpiga porojo tu hana analojua naona bila kumsema mbowe huwa hapati usingizi
 

Wewe hujaelewa, kwa taarifa yako wanasiasa wote ambao hawana uzoefu wa kazi zozote isipokuwa siasa hao ni masikini, vipofu na wako uchi. Duniani kote wanasiasa waliofanikiwa ni wale ambao tayari walikuwa ns kazi/biashara zao na maisha yao, na baadaye akaenda kwenye siasa kama vile sugu, prof J, D. Trump, Ndesamburo, orodha ni ndefu, wanakuwa wanasiasa wa kweli. Wanakuwa mahiri, wenye msimamo, wasioweza kutumika na wenye jeuri. Hawashikwi masikio. Maana tayari wana kazi zao. Hao walioajiriwa kwenye siasa tamgu ujana wao hao ni shida na ni hatari. Wanauwezekano mkubwa sana wa kutumika kisiasa, maana nje ya siasa hawana maisha. Hawsna namna ya kujikimu. Hata mkiona wana vitega uchumi, ukweli ni kwamba hivyo vimekuwepo kwa ajili ya siasa. Nje ya siasa hizo biashara zinafungwa asubuhi mapema kabisa.

Wengi wao, siasa inawapa samaki, lkn haiwafundishi namna ya kuvua samaki. Matokeo yake wakitoka nje ya mfumo, wanalala njaa, maana hakuna kupewa samaki.
 
Wewe inajulikana una chuki kali sana na huyo mchaga sijui alikukosea nini
Mbowe siyo mchaga ni MMALAWI kule alikotaka lumpeleka halima akalipwe USD 35,000 KWA DAKIKA
 
SASA TUNAWEZA KUANZA KUZUNGUMUZA LUGHA MOJA
 
Maana ni stahiki binafsi- mimi nimemuita na namuona Mbowe ni Gaidi; sikulazimishi ukubaliane na mimi; nawe unastahiki ya kumuita na kumuona utakavyo
 
Mkuu agiza K vant uwezo wa kuilipia unao maana unatafuta hela kwa jasho na namna yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…