Mbowe na CHADEMA mnawaharibu vijana na uukuzi wao wa kitaaluma kwa kuwadanganya siasa ni taaluma

Mkuu ngoja nikukaririsha kauli ya unayemtetea ili uone wapi haupo sahihi ILA ujue sikulazimishi ukubaliane na mimi wala umkane masihi wako Mbowe ILA UKWELI UNABAKI PALEPALE- MBOWE AMEKIRI MWENYE ALIVYOMP0TEZA

Halima Mdee ananiuma kwa sababu nyingi.Halima nimemtoa chuo kikuu akiwa msichana. Nimempika kwa gharama sana. Ndiyo maana nilitumia juhudi zangu zote hata kuwaita wazazi wake, wamshawishi aachane na ubunge wa damu wa Magufuli, anaharibu career yake, hakunielewa”

pili, sijaona mbunge mstaafu aliyenachochote cha kunionyesha hiki kimetokana na ubunge- baada ya ubunge wanakuwa wa kawaida tu kama sisi wote suti zinaanza kufuliwa kwa petroli badala ya dry cleaning.

..hali za wanataaluma wanapostaafu zikoje?

..Na hali za wabunge wanapostaafu zikoje?

..wabunge wanalipwa na kumotishwa vizuri kuliko wanataaluma wengi hapa nchini.
 
wanahali nzuri maisha yamenyooka- ila wabunge yanapanda juu na kushuka ghafla- hivi unajuwa Mbowe ilibidi awachangishe wabunge wote wa CHADEMA ili kumsaidia Kiwia kulipa karo za watoto wake baada tu ya ubunge
 
Hujui lolote wewe. Chadema ni kubwa kuliko mdee. Na mwita. 2000s fuatlilia siasa za DARUSO.acha kubwabaja kijana mdogo na shule zako za st.
Hayo maneno unaniambia mie au Masiya wako Gaidi Mbowe?
 
Gaidi ni nani? Soma sheria ya ugaidi ya Tanzania. Rejea tafsr ya neno gaid kayo. Tatizo halijawahi kuwa neno gaidi duniani... tatizo ni uislam siyo ugaidi.... jifunze kujenga hoja acha kuwa kasuku! Mbowe ni gaidi kwa hukumu ipi? Iliyohukumiwa na mahakama ipi? Lini na wapi?
Gaidi anakaribishwa ikulu? Tena akitokea wanapokaaa magaidi?
Unamdanganya nani?
 
wanahali nzuri maisha yamenyooka- ila wabunge yanapanda juu na kushuka ghafla- hivi unajuwa Mbowe ilibidi awachangishe wabunge wote wa CHADEMA ili kumsaidia Kiwia kulipa karo za watoto wake baada tu ya ubunge

..mtu anapokuwa mbunge inabidi ajipange ataishi vipi atakapoacha ubunge.

..wahusika wakilielewa na kulifanyia kazi hilo wataweza kuyamudu maisha baada ya ubunge.

..wastani wa mtu kuwa mbunge ni miaka mingapi? Ni vizuri sana jambo hilo likaeleweka.

..hali uliyoizungumzia inawakuta hata wanamichezo kama wa mbio, kikapu,...ambao hulipwa fedha nyingi wanapokuwa ktk top form lakini wanapochuja na kustaafu wanaanguka kiuchumi.

..tatizo hilo ni combination ya mambo mengi ikiwemo, matumizi mabaya ya kiholela ya fedha, kuwekeza ktk miradi ya ujanja-ujanja, kutokujiandaa mapema kwa maisha ya kustaafu, etc etc.

..kama ambavyo career ya mwanamichezo inaweza kukatika ghafla kutokana na kuumia [ career ending injury], wabunge nao wanapaswa kujua kwamba wanaweza kutumikia kwa miaka 5, wakibahatika ni miaka 10.
 
Mkuu rudisha akili zako kutoka kwa uliyemkopesha azitumie. Hivi kwa akili yako Ubunge ni taaluma? K-BET ni taaluma? Hapa tunaongelea taaluma- hivi leo Mdee anaweza kuomba ajira wapi? na siyo hao hata Mbowe mwenyewe? Hongera kwa kuwa muwakilishi wa kizazi cha hovyo
We nawe ni chenga tuu, siyo kila anayesoma anategemea kuja kuomba ajira
 
..mlinganishe halima mdee na wenzake waliohitimu mwaka mmoja kitivo cha sheria udsm.

..hudhani kwamba halima ame-achieve zaidi kisiasa na kijamii kulinganisha na wahitimu wenzake?

..waliomharibia halima career yake sio chadema, bali ni hao waliomrubuni kwenda bungeni kwa kugushi.
Hakuna aliyerubuniwa na marehemu mwenye heshima mbele ya jamii. Ukishikamana na shetani, kamwe usitegemee heshima.
 
Anachukiwa ama anahadaa wenzake. Wenye misimamo isiyo yumba hata kama ni ya kukengeuka wako Ubeligiji na Canada au wamezikwa kama Wangwe. Na tukiomba wachunguzi wa lugha wafanye tafiti kuhusina na haya unaweza kushangaa wakaja na conclusion statement ya utafiti wa ikisema, Kinacho ila CDM kiko ndani ya CDM." Mwisho wa statement mwisho wa uchunguzi.

Ungekuwa na akili kidogo tu ungejiongeza na kauli yake ni kiwa gerezani nilimwita Halima lakini akawa anakuja na Ester. Hata Escoba akiwa gerezani asinge sema hiyo kauli.
Wewe ni kijani chochote watakachofanya Chadema na hasa huyo Mbowe ni lazima utakiponda tu ndipo furaha yako ikamilike.

Kufikiri kwamba wenye mawazo tofauti na wewe hawajielewi ni kutokujitendea/kutendea wengine haki

Angalia usijekuta wewe ndio hujielewi, samahani lakini huwa sipendi kutumia maneno yenye kuudhi, baki kama ulivyo tusipangiane cha kufikiria/kuamini
 
sasa hiyo ni taaluma au ajira? sioni kama hayo ni mfano mzuri
  • Jenerali Ulimwengu ni mwandishi wa habari- akaenda chuoni kusoma sheria na kisha shahada ya uzamili akasoma sosiolojia kwa hiyo kinachompa nafasi hiyo unayoisema ni uandishi wa habari
  • Rais Karume ni rais na marais wengi hutumika namna hiyo kutoa mihadhara kwenye vyuo na wala hawaajiriwi

Mie nimekuomba unipe mifano kutoka miongoni mwa wabunge
Mimi nakupa michache ya waliharibikiwa na upofu wa Mbowe
  1. Mbowe anaalalama kwa sababu atapata tabu sana kuishi bila ubunge kisa ulisaidia kuficha mabaya yake mengi na hawezi biashara hana karama hiyo
  2. Mkosa mali sasa anapambana kuwa wakili baada ya kuona ubunge si taaluma
  3. Kiwia hawezi toka hata ndani kwa kuwa ni unfit everywhere- hana taaluma
Wewe inajulikana una chuki kali sana na huyo mchaga sijui alikukosea nini
 
Siasa bila biashara nyingine ya kukuingizia kipato ni sawa na Uchawi
Habari hizi zimfikie bwana polepole popote alipo bila kumsahau albaata bashite, saabaya ndg jamaa na wengineo popote walipo
 
Gaidi ni nani? Soma sheria ya ugaidi ya Tanzania. Rejea tafsr ya neno gaid kayo. Tatizo halijawahi kuwa neno gaidi duniani... tatizo ni uislam siyo ugaidi.... jifunze kujenga hoja acha kuwa kasuku! Mbowe ni gaidi kwa hukumu ipi? Iliyohukumiwa na mahakama ipi? Lini na wapi?
Gaidi anakaribishwa ikulu? Tena akitokea wanapokaaa magaidi?
Unamdanganya nani?
Achana naye huyo ni mpiga porojo tu hana analojua naona bila kumsema mbowe huwa hapati usingizi
 
..mlinganishe halima mdee na wenzake waliohitimu mwaka mmoja kitivo cha sheria udsm.

..hudhani kwamba halima ame-achieve zaidi kisiasa na kijamii kulinganisha na wahitimu wenzake?

..waliomharibia halima career yake sio chadema, bali ni hao waliomrubuni kwenda bungeni kwa kugushi.

Wewe hujaelewa, kwa taarifa yako wanasiasa wote ambao hawana uzoefu wa kazi zozote isipokuwa siasa hao ni masikini, vipofu na wako uchi. Duniani kote wanasiasa waliofanikiwa ni wale ambao tayari walikuwa ns kazi/biashara zao na maisha yao, na baadaye akaenda kwenye siasa kama vile sugu, prof J, D. Trump, Ndesamburo, orodha ni ndefu, wanakuwa wanasiasa wa kweli. Wanakuwa mahiri, wenye msimamo, wasioweza kutumika na wenye jeuri. Hawashikwi masikio. Maana tayari wana kazi zao. Hao walioajiriwa kwenye siasa tamgu ujana wao hao ni shida na ni hatari. Wanauwezekano mkubwa sana wa kutumika kisiasa, maana nje ya siasa hawana maisha. Hawsna namna ya kujikimu. Hata mkiona wana vitega uchumi, ukweli ni kwamba hivyo vimekuwepo kwa ajili ya siasa. Nje ya siasa hizo biashara zinafungwa asubuhi mapema kabisa.

Wengi wao, siasa inawapa samaki, lkn haiwafundishi namna ya kuvua samaki. Matokeo yake wakitoka nje ya mfumo, wanalala njaa, maana hakuna kupewa samaki.
 
Wewe inajulikana una chuki kali sana na huyo mchaga sijui alikukosea nini
Mbowe siyo mchaga ni MMALAWI kule alikotaka lumpeleka halima akalipwe USD 35,000 KWA DAKIKA
 
..mtu anapokuwa mbunge inabidi ajipange ataishi vipi atakapoacha ubunge.

..wahusika wakilielewa na kulifanyia kazi hilo wataweza kuyamudu maisha baada ya ubunge.

..wastani wa mtu kuwa mbunge ni miaka mingapi? Ni vizuri sana jambo hilo likaeleweka.

..hali uliyoizungumzia inawakuta hata wanamichezo kama wa mbio, kikapu,...ambao hulipwa fedha nyingi wanapokuwa ktk top form lakini wanapochuja na kustaafu wanaanguka kiuchumi.

..tatizo hilo ni combination ya mambo mengi ikiwemo, matumizi mabaya ya kiholela ya fedha, kuwekeza ktk miradi ya ujanja-ujanja, kutokujiandaa mapema kwa maisha ya kustaafu, etc etc.

..kama ambavyo career ya mwanamichezo inaweza kukatika ghafla kutokana na kuumia [ career ending injury], wabunge nao wanapaswa kujua kwamba wanaweza kutumikia kwa miaka 5, wakibahatika ni miaka 10.
SASA TUNAWEZA KUANZA KUZUNGUMUZA LUGHA MOJA
 
Gaidi ni nani? Soma sheria ya ugaidi ya Tanzania. Rejea tafsr ya neno gaid kayo. Tatizo halijawahi kuwa neno gaidi duniani... tatizo ni uislam siyo ugaidi.... jifunze kujenga hoja acha kuwa kasuku! Mbowe ni gaidi kwa hukumu ipi? Iliyohukumiwa na mahakama ipi? Lini na wapi?
Gaidi anakaribishwa ikulu? Tena akitokea wanapokaaa magaidi?
Unamdanganya nani?
Maana ni stahiki binafsi- mimi nimemuita na namuona Mbowe ni Gaidi; sikulazimishi ukubaliane na mimi; nawe unastahiki ya kumuita na kumuona utakavyo
 
Wewe hujaelewa, kwa taarifa yako wanasiasa wote ambao hawana uzoefu wa kazi zozote isipokuwa siasa hao ni masikini, vipofu na wako uchi. Duniani kote wanasiasa waliofanikiwa ni wale ambao tayari walikuwa ns kazi/biashara zao na maisha yao, na baadaye akaenda kwenye siasa kama vile sugu, prof J, D. Trump, Ndesamburo, orodha ni ndefu, wanakuwa wanasiasa wa kweli. Wanakuwa mahiri, wenye msimamo, wasioweza kutumika na wenye jeuri. Hawashikwi masikio. Maana tayari wana kazi zao. Hao walioajiriwa kwenye siasa tamgu ujana wao hao ni shida na ni hatari. Wanauwezekano mkubwa sana wa kutumika kisiasa, maana nje ya siasa hawana maisha. Hawsna namna ya kujikimu. Hata mkiona wana vitega uchumi, ukweli ni kwamba hivyo vimekuwepo kwa ajili ya siasa. Nje ya siasa hizo biashara zinafungwa asubuhi mapema kabisa.

Wengi wao, siasa inawapa samaki, lkn haiwafundishi namna ya kuvua samaki. Matokeo yake wakitoka nje ya mfumo, wanalala njaa, maana hakuna kupewa samaki.
Mkuu agiza K vant uwezo wa kuilipia unao maana unatafuta hela kwa jasho na namna yako
 
Back
Top Bottom