Mbowe na CHADEMA mnawaharibu vijana na uukuzi wao wa kitaaluma kwa kuwadanganya siasa ni taaluma

Umeshakula au umeliwa?
1652449761944.png
 
..kwanini unaamini mbunge ni mtu asiye na heshima ktk jamii au miongoni mwa wanataaluma?

..Na unapozungumzia ajira una maana gani?

..Halima ni mwanasheria na amepata kuwa mbunge, hiyo ni combination ya elimu na uzoefu ambayo inaweza kutumika mahali pengi kujipatia kipato.

..Kwa mfano, Halima anaweza kuajiriwa ktk research center inayojishughulisha na utafiti wa sera na sheria na impacts zake kwa jamii.

..Halima anaweza kuajiriwa na chombo cha habari kama mchambuzi wa masuala ya siasa, sheria, na bunge.

..Halima anaweza kuwa mhadhiri ktk vyuo vikuu kwasababu ana uzoefu wa kushiriki ktk kutunga / kuandika sheria akiwa mbunge. Pale Udsm waalimu wengi wa sheria wanauzoefu wa uwakili wa mahakamani kama watafsiri sheria, lakini hawana uzoefu wa kibunge kama watunga sheria.

..Again, kuna maeneo mengi ambapo wanasiasa wenye elimu na taaluma wanaweza kupata ujira kwa kutumia uzoefu wao ktk siasa na ktk bunge.

Cc Masanja
Mkuu nipe mfano wa Mbunge mstaafu anayefanya hayo?
 
..Jenerali Twaha Ulimwengu.

..Rais mstaafu Abedi Karume aliwahi kwenda Harvard Univ akawa anatoa mihadhara kwenye taasisi yao ya uongozi.

..Hapa Tz ni mara ngapi wastaafu wamealikwa vyuoni kutoa mihadhara?

..Nadhani tuna tatizo la kimtizamo na kiutamaduni ndio maana hali iko hivi ilivyo.
 
sasa hiyo ni taaluma au ajira? sioni kama hayo ni mfano mzuri
  • Jenerali Ulimwengu ni mwandishi wa habari- akaenda chuoni kusoma sheria na kisha shahada ya uzamili akasoma sosiolojia kwa hiyo kinachompa nafasi hiyo unayoisema ni uandishi wa habari
  • Rais Karume ni rais na marais wengi hutumika namna hiyo kutoa mihadhara kwenye vyuo na wala hawaajiriwi

Mie nimekuomba unipe mifano kutoka miongoni mwa wabunge
Mimi nakupa michache ya waliharibikiwa na upofu wa Mbowe
  1. Mbowe anaalalama kwa sababu atapata tabu sana kuishi bila ubunge kisa ulisaidia kuficha mabaya yake mengi na hawezi biashara hana karama hiyo
  2. Mkosa mali sasa anapambana kuwa wakili baada ya kuona ubunge si taaluma
  3. Kiwia hawezi toka hata ndani kwa kuwa ni unfit everywhere- hana taaluma
 
Mbona weye ni kinyamkera wa CCM na watu wanakuangalia tu?
Halima Mdee ananiuma kwa sababu nyingi.Halima nimemtoa chuo kikuu akiwa msichana. Nimempika kwa gharama sana. Ndiyo maana nilitumia juhudi zangu zote hata kuwaita wazazi wake, wamshawishi aachane na ubunge wa damu wa Magufuli, anaharibu career yake, hakunielewa”
 
..Jenerali Twaha Ulimwengu.

..Rais mstaafu Abedi Karume aliwahi kwenda Harvard Univ akawa anatoa mihadhara kwenye taasisi yao ya uongozi.

..Hapa Tz ni mara ngapi wastaafu wamealikwa vyuoni kutoa mihadhara?

..Nadhani tuna tatizo la kimtizamo na kiutamaduni ndio maana hali iko hivi ilivyo.
Mkuu unajitahidi kumfahamisha mtu anaeongea bila kufanya tafiti bali yeye anaongea ili kuifurahisha nafsi yake pamoja na porojo za wavunja Sheria ili wananchi wasipate maendeleo.
 
sasa hiyo ni taaluma au ajira? sioni kama hayo ni mfano mzuri
  • Jenerali Ulimwengu ni mwandishi wa habari- akaenda chuoni kusoma sheria na kisha shahada ya uzamili akasoma sosiolojia kwa hiyo kinachompa nafasi hiyo unayoisema ni uandishi wa habari
  • Rais Karume ni rais na marais wengi hutumika namna hiyo kutoa mihadhara kwenye vyuo na wala hawaajiriwi

Mie nimekuomba unipe mifano kutoka miongoni mwa wabunge
Mimi nakupa michache ya waliharibiwa na upofu wa Mbowe
  1. Mbowe anaalalama kwa sababu atapata tabu sana kuishi bila ubunge kisha ulisaidia kuficha mabaya yake mengi na hawezi biashara hana karama hiyo
  2. Mkosa mali sasa anapambana kuwa wakili baada ya kuona ubunge si taaluma
  3. Kiwia hawezi toka hata ndani kwa kuwa ni unfit everywhere- hana taaluma

..Nadhani hayo ni matatizo ya mtu binafsi na sio kweli kwamba kushiriki siasa ni jambo baya.

..Siasa inaweza kumpa mtu platform ambayo asingeipata kama angepita ktk hatua za kawaida za kufanya kazi za kuajiriwa.

..Kuna mawaziri wana-struggle baada ya kutoka ktk utumishi. Je, wewe ukiteuliwa Waziri utakataa? Ni wangapi wanaweza kukataa uteuzi kuwa mawaziri?
 
Mkuu mie sijui kwanini unapata tabu- ubunge siyo taaluma- Mdee kasoma sheria ila siyo mwanasheria anapaswa kupata leseni ya uwakili ili awe; hakuwa na hajawa kwa sababu ambazo leo tumekuja kuzijua- Mbowe alimdanganya na kumuingiza kwenye siasa- kipato kikubwa na masifa ya kijinga ya mda mfupi- sasa ubunge umeisha - umemalizwa na Mbowe mwenyewe; sasa wewe unateteta waharibifu kama Mbowe na uharibifu huo alioufanya- kweli mtu mzima na tuko wote humu halafu tunajiita GREAT THINKER?!
Watu kama Halima na hata MBowe wangeweza kupata uhadhiri kama unavyofikiria kama tu PADRI KITIMA ANGEBAKI SAUT

MKUU
siasa imeharibu sana vijana
Masha kaharinikiwa kisa siasa ujanani
Mkosamali kaharibikiwa kisa siasa ujanani
Makinda -sijui ataponea wapi
WAKO WENGI TU
 
Mkuu unajitahidi kumfahamisha mtu anaeongea bila kufanya tafiti bali yeye anaongea ili kuifurahisha nafsi yake pamoja na porojo za wavunja Sheria ili wananchi wasipate maendeleo.
Unaona kunautafiti Mkuu Jokakuu kafanya hapo?
 
Siasa bila biashara nyingine ya kukuingizia kipato ni sawa na Uchawi
 
Mkuu mie sijui kwanini unapata tabu- ubunge siyo taaluma- Mdee kasoma sheria ila siyo mwanasheria anapaswa kupata leseni ya uwakili ili awe; hakuwa na hajawa kwa sababu ambazo leo tumekuja kuzijua- Mbowe alimdanganya na kumuingiza kwenye siasa- kipato kikubwa na masifa ya kijinga ya mda mfupi- sasa ubunge umeisha - umemalizwa na Mbowe mwenyewe; sasa wewe unateteta waharibifu kama Mbowe na uharibifu huo alioufanya- kweli mtu mzima na tuko wote humu halafu tunajiita GREAT THINKER?!
Watu kama Halima na hata MBowe wangeweza kupata uhadhiri kama unavyofikiria kama tu PADRI KITIMA ANGEBAKI SAUT

MKUU
siasa imeharibu sana vijana
Masha kaharinikiwa kisa siasa ujanani
Mkosamali kaharibikiwa kisa siasa ujanani
Makinda -sijui ataponea wapi
WAKO WENGI TU
..Halima amekuwa mbunge kwa vipindi vitatu sasa unamlaumu vipi Mbowe kuwa amemlaghai?

..sijui kwanini unaamini leseni ya uwakili ni dili kiasi hicho wakati kila mwaka kuna mamia ya wanasheria wanapata leseni hiyo.

..Is Halima worse of kuliko majority ya waliopata leseni ya uwakili wakati yeye akiwa mbunge?

..Halima ameingia kwenye siasa na amekuwa mbunge, na nchi nzima inamjua. Pia wenye uelewa wana-appreciate mchango alioutoa kama mbunge.

..Kama Halima ataharibikiwa itakuwa kwasababu ya hili sakata la kuingia bungeni kwa udanganyifu.

..Waliomshawishi ktk mipango hiyo ndiyo waliomharibia, sio Mbowe na Chadema waliomjenga akaingia bungeni mara tatu kwa njia HALALI.
 
Sasa Mbowe analalamika au kujutia nini?
Ubunge si TAALUMA mkuu labda kwa kutumia akili za MBOWE
 
..Ualimu ni taaluma.

..Je, ukitoa offer ya Ubunge viti maalum kwa Waalimu, wangapi watachangamkia fursa hiyo na wangapi wataipuuzia?

..mazingira ya Watz kupuuza taaluma na kuvutiwa zaidi na siasa aliyeyasababisha sio Mbowe au Chadema.
 
Mkuu unaelekea kukubaliana na mimi kuwa
  1. ubunge si taaluma;
  2. yametengenezwa mazingira ya kuwafanya watu waone kuwa ubunge ni taaluma; na
  3. mtu pekee aliye kiri hadharani kuwa sehemu ya kuwashawishi watu waone ubunge ni taaluma na njia ya maisha ni MBOWE
 
1. Nakubaliana na wewe 100% kuwa ubunge sio taaluma.

2. Naweka msisitizo kwamba ubunge unalipa kuliko taaluma nyingi hapa Tz.

3. Nasisitiza kwamba kufanikiwa au kutokufanikiwa kwa mhusika baada ya kutumikia ubunge ni suala la mtu mmoja mmoja.

4. Napingana na wewe kwamba aliyesababisha wanataaluma wakatamani ubunge kuliko taaluma zao ni Freeman Mbowe.
 
Mkuu ngoja nikukaririsha kauli ya unayemtetea ili uone wapi haupo sahihi ILA ujue sikulazimishi ukubaliane na mimi wala umkane masihi wako Mbowe ILA UKWELI UNABAKI PALEPALE- MBOWE AMEKIRI MWENYE ALIVYOMP0TEZA

Halima Mdee ananiuma kwa sababu nyingi.Halima nimemtoa chuo kikuu akiwa msichana. Nimempika kwa gharama sana. Ndiyo maana nilitumia juhudi zangu zote hata kuwaita wazazi wake, wamshawishi aachane na ubunge wa damu wa Magufuli, anaharibu career yake, hakunielewa”

pili, sijaona mbunge mstaafu aliyenachochote cha kunionyesha hiki kimetokana na ubunge- baada ya ubunge wanakuwa wa kawaida tu kama sisi wote suti zinaanza kufuliwa kwa petroli badala ya dry cleaning.
 
Halima Mdee ananiuma kwa sababu nyingi.Halima nimemtoa chuo kikuu akiwa msichana. Nimempika kwa gharama sana. Ndiyo maana nilitumia juhudi zangu zote hata kuwaita wazazi wake, wamshawishi aachane na ubunge wa damu wa Magufuli, anaharibu career yake, hakunielewa”
Hujui lolote wewe. Chadema ni kubwa kuliko mdee. Na mwita. 2000s fuatlilia siasa za DARUSO.acha kubwabaja kijana mdogo na shule zako za st.
 
Back
Top Bottom