Mbowe na dhana iliyotiliwa shaka huko nyuma

Sindano nimechoma kibao , hoja hapa afya ya mtu ni jukumu lake, chanjo za lazima apeleka kwa misukule yake, aliowaambia Lowassa fisadi halafu akawabadilishia Gia angani wakamkubalia tena kuwa Lowassa sio fisadi
Andika kwa kufuata kanuni.Halafu huyo Lowassa siku hizi yupo chama gani?
 
Mbowe ni jinga lililopitiliza mwendazake kaka yake kaondoka kwa ugonjwa huo mbona hakumshauri mapema akaenda kudungwa dubai kama alivyofanya yeye! Au hajasikia uingereza huko euro imeisha covid19 haoni huo mchezo huko unaofanywa licha ya huo mchezo jana tu aliyepata chanjo kakutwa na maambukizi huko uingereza hivi hizo chanjo zinesaidia mataifa gani?maana kila siku utasikia covid mara marekan mara brazil mara uganda
 
Ndivyo ulivyojifunza kuandika hivyo?
 
Andika kwa kufuata kanuni.Halafu huyo Lowassa siku hizi yupo chama gani?
Miaka 10, mnasema Lowassa fisadi na ushahidi mnao, Mbowe alipo badilika tuu na misukule ikabadilika, Lowassa akawa sio fisadi, misukule ya Mbowe tunaijua
 
Miaka 10, mnasema Lowassa fisadi na ushahidi mnao, Mbowe alipo badilika tuu na misukule ikabadilika, Lowassa akawa sio fisadi, misukule ya Mbowe tunaijua
Halafu baadaye akarudi wapi na weye ukachanua miguu kwa furaha kama unacheza mdundiko?
 
Wewe unamuamini sana huyo Shangazi yako? Hana lolote, ni mtu mwenye stress nyingi za maisha
 
Kweli kumpenda mtu muda mwengine Ata madhaifu yako huwezi kuyaona
Ni tatizo la mfumo wa ufundishaji ama ni umbulula wa wana JF wengi!?
Hakuna neno "ata",kuna "hata".
Hakuna neno "akuna", kuna "hakuna".
Hakuna neno "apana", kuna "hapana".
Tatizo la "r" na "l" linajulikana kwa baadhi ya makabila.
Hili tatizo la "h" na "a" limeanzajee!!???
 
Halafu baadaye akarudi wapi na weye ukachanua miguu kwa furaha kama unacheza mdundiko?
Ushahidi kuwa Lowassa fisadi mliuchoma moto? aibu tupu ndio shida ya kuwa msukule hii, yaani mtu Ata week ajamaliza tayari kawa Mgombea wa Urais
 
Kiswahili hakina kabila kijana, kwa vile wewe ni muhanga wa R na L unataka kujificha kwenye kichaka, hakuna alie salama kila mmoja ajifunze kurekebisha anapoteleza
 
Kiswahili hakina kabila kijana, kwa vile wewe ni muhanga wa R na L unataka kujificha kwenye kichaka, hakuna alie salama kila mmoja ajifunze kurekebisha anapoteleza
Umeelewa nilichoandika au umekurupuka kujibu!?
 
Kwa hiyo ccm mmepata ahueni baada ya sakata la tozo kuwakaba koo
Mbowe si mtoa .maamuzi, ameshauri kama ambayo huwa anashauri ccm wanakataa baadaye wanalazimika kukubsli na kutekeleza

Na hili pia watapinga lakini hatimaye wakubali tu
 
Tumeshamchomka huyu mbowe anakiua chama .alisema tufungiwe lockdown
Amesema chanjo iwe lazima
Atakuwa ameshavuta mpunga huyu
 
Ajiuzuru uenyekit tu 2023 ni mbaoi sana
Na mwenyekiti ajaye uchagani au upareni tu kamwe hawezi toka sehemu nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…