Mbowe na dhana iliyotiliwa shaka huko nyuma

Mbowe na dhana iliyotiliwa shaka huko nyuma

We pimbi unaweza kumpiga samia
Samia Mbona anapingwa sana , cha ajabu hakuna wa kumpinga Mbowe, akisema Lowassa ni fisadi Ata miaka 20 misukule yote itakubali, kesho akiamka akisema Lowassa saaafi na misukule nayo inasema saaafi, ni hatari sanaaaa
 
Watanzania waliosema hawataki chanjo uliwahoji lini? Mbona upo too general?Unaumwa mafua weye?
Kasome komenti za watu huko mtandaoni walivyomshanbulia baada ya kutoa tamko hilo la kijinga kabisa, hata huko Twitter ambako Kuna mashabiki wengi wa Chadema nao walimshambulia bila kujali kuwa ni mwenyekiti wao.

In short mzee Mbowe alitoa tamko lile kwa hisia zaidi baada ya kufiwa akasahau kuwa yeye ni kiongozi wa kisiasa anatakiwa apime upepo kabla ya kutoa tamko sensitive Kama hilo.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Hao "mashabiki wengi" ulitumia njia gani kuwamaizi?
 
Ushahidi kuwa Lowassa fisadi mliuchoma moto? aibu tupu ndio shida ya kuwa msukule hii, yaani mtu Ata week ajamaliza tayari kawa Mgombea wa Urais
Kama mnao ushahidi huko CCM kwamba ni fisadi mbona mpo naye?Basi ninyi ni vimbwenerehi.
 
Watanzania waliosema hawataki chanjo uliwahoji lini? Mbona upo too general?Unaumwa mafua weye?
Kwako Kuna mawili.Either Ni mtu Uliye busy na mambo yako,au Ni mtu wa kutochangamana na watu.Nikusaidie tu Kama upo kundi la hapo juu Basi Jaribu Kama una Social Media yoyote upite kwenye Post yoyote yenye hicho alichozungumza Jana ufuatilie reaction za watu.Ifike mahali mchukue hoja Kama sehemu ya kuona mmekosea wapi ili kujirekebisha.La sivyo mtakizidi kukididimiza chama kwa ushabiki maandazi
 
Hao "mashabiki wengi" ulitumia njia gani kuwamaizi?
Sasa kufanya tu tathmini ndogo ya reaction ya watu Katika Jambo fulani Katika Post iliyotumwa inahitaji kufanya mahesabu makali .Hawa wasomi wetu Jamanii
 
Kama mnao ushahidi huko CCM kwamba ni fisadi mbona mpo naye?Basi ninyi ni vimbwenerehi.
" atakae muunga mkono fisadi Lowassa akapimwe akili haraka " MCHUNGAJI MSIGWA ahahahahaha baada ya Mbowe kubadili Gia angani misukule yote ikabadili maneno ahahahha
 
Kubali tu ni kosa la kimkakati ulifanya kuitaka Serikali ituchanje kilazima sijajua lengo lako hasa ilikuwa Ni kitu gani?ulipaswa usome mchezo Kwanza unapoelekea wewe Ni kiongozi kwa hiyo hisia za uchungu ulizokuwa nazo juu ya msiba wa ndugu yako sio sababu ya msingi ya kututaka tuchanjwe pale ulibugi ila nafikiri Ni mtazamo wako na sio msimamo wa chadema..kiufupi umelikoroga na chamani kwako tayari kumevurugana ila good news Ni kwamba hata CCM kumechafukwa wameshavurugana kwa hiyo ishukuriwe corona maana Ni ka mtaji Cha wanasiasa ila inasononesha kusikia bado upo rumande dah aiseee pole Sana CCM mjiangalie nyie na vyombo vyenu vya kutafsiri Sheria lolote baya likimtokea humo ndani hapatakalika.
 
Ni maoni yake binafsi..
ni kama Fatuma karume na tundu lissu wanavyosimamia uhiari kwny suala la chanjo.
 
Hivi takwa la Katiba mpya lilikuwa la mwenyekiti? Chama chake au agenda ya upinzani? Toka Mbowe amekamatwa sioni huu mjadala ukiendelea.

Au limepata hili kutokea ili litimie lile neno lililo andikwa nitampiga mchungaji wao na kondoo wote wata tawanyika?

Niliwahi kusema nchi inahitaji mawazo mbadala kuiondoa ccm.
 
Back
Top Bottom