Tetesi: Mbowe na Dkt. Slaa wafanya kikao cha siri jijini Dar es salaam

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Taarifa zilizotufikia hapa Mwanza ni kwamba Dkt. Slaa na Mbowe wamefanya kikao cha siri kuelea opresheni 255 kanda ya Kusini na kikao cha Dkt. Slaa kanda ya ziwa.

Majadiliano yao yamefuatia mkakati wa CHADEMA kuelekea uchaguzi wa viongozi 2024 pamoja na maandalizi ya mikutano ya siasa, uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.

Lakini pia Dkt. Slaa anaelezwa kupingana na mkakati wa Wakili Mwambukusi wakutaka ajiunge na Mbatia katika chama kipya anachotarajia kuhamia baada ya CCM kukabidhi NCCR kwa Selasini kibabe.

Je, kwa sasa Dkt. Slaa ni Asset au Liability kwenye siasa za upinzani hasa CHADEMA? Aendelee na mkakati wa kuungana na akina Mwambukusi au abaki kuwa neutral kwenye mfumo wa siasa huku akizihubiri sera za CHadema?
 
Mimi naona Mwambukisi apewe nafasi ya Juu hapo Chadema then Mbowe na slaa waendelee kuwa washauri

Napenda kuona ingizo jipya katika siasa zetu za maziwa makuu .
 
Slaa ni asset
 
Mkutano wa siri ila wewe una habari zaote za kikao hicho cha siri?
 
Mimi naona Mwambukisi apewe nafasi ya Juu hapo Chadema then Mbowe na slaa waendelee kuwa washauri

Napenda kuona ingizo jipya katika siasa zetu za maziwa makuu .
We endelea na siasa zako huko huko ccm
 
Majadiliano yao yamefuatia mkakati wa CHADEMA kuelekea uchaguzi wa viongozi 2024 pamoja na maandalizi ya mikutano ya siasa, uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.
Mkwe ameshasema hakuna mtaa utashikwa na upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…