FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Mbowe kachoka hata kufikiri, kaishiwa hata mawazo, hana maono wala muelekeo:
www.jamiiforums.com
Mbowe kakata tamaa kabisa. CHADEMA haina malengo wala muelekeo
Nilikuwa namsikiliza mwenyekiti wa maisha wa chadomo anaongea na wazee wa chadomo huko Unguja. Nimecheka na kusikitika sana, yaani anawapiga porojo tu, hakuna sera kabisa. Amesema wao ni vitu viwili wanavyotaka ni "katiba mpya na tume huru ya uchaguzi", hapohapo akasema "hatuwezi kuzipata kwa...