Tetesi: Mbowe na Dkt. Slaa wafanya kikao cha siri jijini Dar es salaam

Mbowe kachoka hata kufikiri, kaishiwa hata mawazo, hana maono wala muelekeo:

 
Je, kwa sasa Dkt. Slaa ni Asset au Liability kwenye siasa za upinzani hasa CHADEMA?
Mkuu Resilience , nimelipenda hilo swali, maswali kama hayo nami niliwahi kuyauliza
Na juzi kati TL alivyoanza sarakakasi niliwauliza Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

Tatizo kubwa la Chadema, hawana think tanks wa kufanya uchunguzi wa assets na liabilities kwasababu hata nanilii mwenyewe is a liability!. Siku nyingi tumewaeleza Chadema CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?
P
 
chadema wametoe tundu lisu wampumzishe then kila kitu kitakuwa sawa hata watarudisha imani kwa wananchi
 

liability chadema ni tundu lisu, wampumzishe hata hayuko sawa kichwani …
 
Ni maagizo kutoka Vatican au?maana Kwa Hali ilivyo chadema kukubali kufanya coalition of the willing na Padre Mzinzi wilbroad slaa ni wazi hayo ni maagizo ya kanisa
 
Proper name ni Mwabukusi au Mwambukusi?
 
Dr Slaa anaweza kuaminiwa na kizazi cha 2015+ pekee, asubiri kifikie umri wa kupiga kura.
 
tundu lisu, bi tozo, tulia & co. wote timu moja, tundu lisu is a trojan horse …


Tujuavyo wazalendo TAL, Mwabukusi, Mdude, Slaa na wa namna hiyo wana halisi nchi hii wanaipigania nchi Kwa vitendo na huo ni mwiba mkubwa kwenu. Mengine ambia chawa chawa ..
 
AUNGAME SALA YA TOBA AJIGALAGAZE MAZABAUNI ARDHI KATIKA UTUMISHI WA KANISA.
 
Hizo tetesi ni uzushi wako, mnaliharibu jukwaa Kwa uongo, Mbowe si amesema yeye ni ' I am Uncle Tom? Na kwamba bila chama chake hakuna Demokrasia? I don't think he needs mazungumzo ya siri na yeyote but CCM, tuheshimu maamuzi yake na chama chake
 
Tujuavyo wazalendo TAL, Mwabukusi, Mdude, Slaa na wa namna hiyo wana halisi nchi hii wanaipigania nchi Kwa vitendo na huo ni mwiba mkubwa kwenu. Mengine ambia chawa chawa ..

mbona hawaongelei umeme? ulishawahi kujiuliza hilo swali? kwa nini hawataki kumuangusha raisi samia? kwa nini wanamlinda ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…