Tetesi: Mbowe na Dkt. Slaa wafanya kikao cha siri jijini Dar es salaam

mbona hawaongelei umeme? ulishawahi kujiuliza hilo swali? kwa nini hawataki kumuangusha raisi samia? kwa nini wanamlinda ?

Ya kuongelea ni mengi. Wao wameanza na ya msingi katiba mpya na bandari. Wewe unaongelewa lipi? Au Ubunge na ruzuku?
 
Ya kuongelea ni mengi. Wao wameanza na ya msingi katiba mpya na bandari. Wewe unaongelewa lipi? Au Ubunge na ruzuku?

nani kaongelea bandari? tundu lisu? au unaongelea ile kiki yake ya kutaka asikilizwe? haya ya Wamsai yameishia wapi ?
 
Chula
 
Nimekuelewa .. pamoja sana mkuu ..

Imagine kumkomboa kifikra mtu wa dizaini hii "coastal dwellers" ni kazi ngumu inayohitaji devine spark.

Na wengine tuko nao humu JF wanajiita CCM hardcore wakati wanashindia mlo mmoja na kahawa.

Akimaliza kucheza Bao ananza kubishana SIMBA na YANGA.
 
Ndoto za Ally Nacha hizi. Kama ni kikao cha SIRI wewe hz siriumezinasa wapi? Acha kujitekenya na kucheka mwenyewe kiongozi.
 

Ukombozi hauhitaji watu wote:



Sisi hata 10 hamna? Tuacheni visingizio.
 
TAL siyo size yako ndugu .. huyo ni level nyingine hata nduguyo bi tozo analijua hilo. imhotep, JokaKuu pamoja ni kimuhemuhe chao wakwambie zaidi ukipenda.

siyo saizi yangu kivipi na wapi? kwani unanijua mimi ? isitoshe inaonekana kuna mengi sana hawayafahamu khs siasa za tanzania, kwa kukusaidia tu kidogo tundu lisu na samia ni wamoja na wametoka mbali hivyo tundu lisu hawezi kumuangusha samia hata siku moja …
 
Kama kikao Cha Siri wewe umejuaje! Au na wewe ulikuwepo, sio?
 
Bila Slaa Chadema, kinabaki Cha Walutheri. Waislam wana ACT Wazalendo. Wakatoliki hawana pa kushika, kura za Wakatoliki wengi zitategemea msimamo wa TEC
 


Mpigie umuulize Kama yeye ni asset au la!
 
Nafikiri Dr Slaa aunde chama kipya na kina mwabukusi. Mbowe sio wa kuaminika na msimamo wake ni kupata maslahi tu. Dr Slaa ni calibre ya viongozi wenye msimamo kutetea maslahi ya umma na sio maslahi binafsi.
 

..unasema Lissu na Samia wametoka mbali. Na kwamba Lissu hawezi kumuangusha Samia.

..Kama unayosema ni kweli basi ina maana Samia naye hawezi kumuangusha Lissu.

..Mimi nadhani kwenye kutetea vyama vyao hakutakuwa na kuuana au kuhurumiana baina ya hao wawili.
 
Mimi naona Mwambukisi apewe nafasi ya Juu hapo Chadema then Mbowe na slaa waendelee kuwa washauri

Napenda kuona ingizo jipya katika siasa zetu za maziwa makuu .
Yaani Elimu mliyoipata kutoka kwa Mzee EL haikuwasaidia?

Utulivu...
Sera...!


Mwabukusi angejiunga na Ile NGO ya Kina KIJO Bisimba au mama Nkya!
 

wote wamoja …
 
Dr Slaa kisiasa ni mkubwa kuliko CHADEMA nzima. Mbowe lazima ampigie magoti Dr Slaa. Namshauri Mbowe amwongeze hawara wa Dr Slaa kwenye harakati zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…