Mbowe na genge lako mliomchukia hayati Magufuli, mtaanza kwenda kula krismasi mkipita juu ya daraja la wami ambalo mlidai ni megastructure ovyo

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Mlipayuka hovyo na kudai kuwa hayati JPM alipenda megastructure ambazo hazina msaada wowote.

Mlisahau kuwa dadaja la wami la sasa ni dogo na kiusalama lilikuwa halifai.

Leo mtaenda kula X mass huko kaskazini huku mkipita juu ya hilo daraja jipya mmekanyaga kibati 130km/h
 
John Joseph Magufuli (PhD)
Kama unamchukia huyu mwamba bila shaka una matatizo makubwa sana

Wewe utakuwa unatumia kichwa aidha kufugia nywele au kubebea meno
 
Sio kupita kwenye daraja la wami tu. DIKTETA MAGUFULI hata kama angekuwa anatulipa mshahara bila kufanya KAZI Bado tungemchukia na mkulaani Kila hatua. Operation zake zilijaa UKATILI mkubwa Tena wa kutisha.
Are you insane?
 
Magufuli alijenga kwa hela ya mama yake? Kama kwao binafsi wangekua na uwezo kiasi cha kuwajengea watu madaraja wasingeshindia furu hebu wacheni upumbavu wenu.
 
Magufuli alijenga kwa hela ya mama yake? Kama kwao binafsi wangekua na uwezo kiasi cha kuwajengea watu madaraja wasingeshindia furu hebu wacheni upumbavu wenu.
Alijenga kwa hela ya mama yako anayolipa kodi. Alisimamia matumizi mazuri ya kodi zetu zikajenga daraja.
 
Ni jukumu la serikali kutoa huduma Kwa wananchi walipa Kodi, we dogo Kodi anayolioa Mbowe pengine hata 1/9 huifikii, majukumu ya serikali lawama ziwe Kwa Mbowe kijana wa hovyo kabisa wewe, inawezekana unatatizo la akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…