Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Nasikia mikutano yenu ya kichawi siku hizi mnafanyia chato airport.We muuza bajia wa Tandika acha kiherehere. Hujui maana usimamizi wa pesa za umma? Subiri kula kwenda moshi na Mbowe huku mkipita juu ya daraja jipya.