Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwanza wengine sisi njia yetu ni ya Bagamoyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza wengine sisi njia yetu ni ya Bagamoyo.
Hizo ni kodi za wananchi na hata yeye mboye amekuwa akilipa HIYOHIYO kodi.Mlipayuka hovyo na kudai kuwa hayati JPM alipenda megastructure ambazo hazina msaada wowote.
Mlisahau kuwa dadaja la wami la sasa ni dogo na kiusalama lilikuwa halifai.
Leo mtaenda kula X mass huko kaskazini huku mkipita juu ya hilo daraja jipya mmekanyaga kibati 130km/hView attachment 2361027