Mbowe na genge lako mliomchukia hayati Magufuli, mtaanza kwenda kula krismasi mkipita juu ya daraja la wami ambalo mlidai ni megastructure ovyo

Mbowe na genge lako mliomchukia hayati Magufuli, mtaanza kwenda kula krismasi mkipita juu ya daraja la wami ambalo mlidai ni megastructure ovyo

Mlipayuka hovyo na kudai kuwa hayati JPM alipenda megastructure ambazo hazina msaada wowote.

Mlisahau kuwa dadaja la wami la sasa ni dogo na kiusalama lilikuwa halifai.

Leo mtaenda kula X mass huko kaskazini huku mkipita juu ya hilo daraja jipya mmekanyaga kibati 130km/hView attachment 2361027
Hizo ni kodi za wananchi na hata yeye mboye amekuwa akilipa HIYOHIYO kodi.

Tofautisha kati ya ustawi wa wananchi na maendeleo ya vitu .
 
Back
Top Bottom