Mbowe na genge lako mliomchukia hayati Magufuli, mtaanza kwenda kula krismasi mkipita juu ya daraja la wami ambalo mlidai ni megastructure ovyo

We muuza bajia wa Tandika acha kiherehere. Hujui maana usimamizi wa pesa za umma? Subiri kula kwenda moshi na Mbowe huku mkipita juu ya daraja jipya.
Nasikia mikutano yenu ya kichawi siku hizi mnafanyia chato airport.
 
Mlipayuka hovyo na kudai kuwa hayati JPM alipenda megastructure ambazo hazina msaada wowote.

Mlisahau kuwa dadaja la wami la sasa ni dogo na kiusalama lilikuwa halifai.

Leo mtaenda kula X mass huko kaskazini huku mkipita juu ya hilo daraja jipya mmekanyaga kibati 130km/hView attachment 2361027
Alijenga na hela za mamake mjinga wewe
 
Mlipayuka hovyo na kudai kuwa hayati JPM alipenda megastructure ambazo hazina msaada wowote.

Mlisahau kuwa dadaja la wami la sasa ni dogo na kiusalama lilikuwa halifai.

Leo mtaenda kula X mass huko kaskazini huku mkipita juu ya hilo daraja jipya mmekanyaga kibati 130km/hView attachment 2361027
Kweli waTanzania ni misukule haswa , huyo mwendakuzimu hizo pesa alitoa mfukoni mwake ?
Mjaa laana wewe
 
Mlipayuka hovyo na kudai kuwa hayati JPM alipenda megastructure ambazo hazina msaada wowote.

Mlisahau kuwa dadaja la wami la sasa ni dogo na kiusalama lilikuwa halifai.

Leo mtaenda kula X mass huko kaskazini huku mkipita juu ya hilo daraja jipya mmekanyaga kibati 130km/hView attachment 2361027

Acha akili potofu kujenga daraja sio hisani. Ni wajibu wa serikali
 
John joseph Magufuli (PhD)
Kama unamchukia huyu mwamba bila shaka una matatizo makubwa sana

Wewe utakuwa unatumia kichwa aidha kufugia nywele au kubebea meno

Magufuli nilimchukia kwa mengi. Kwanza aliizimisha taasisi yetu kisa hatukumuunga mkono kwenye urais,mpaka Leo adhari zake zinatutesa. Mtu anayegusa mkate wangu kwa hila Bora afe tu,na kweli akafa.
 
Sio kupita kwenye daraja la wami tu. DIKTETA MAGUFULI hata kama angekuwa anatulipa mshahara bila kufanya KAZI Bado tungemchukia na mkulaani Kila hatua. Operation zake zilijaa UKATILI mkubwa Tena wa kutisha.
Kuna story kwenye bible kuwa aliyepokuzimu na mbinguni wanaweza kuonana.

Haki ya nani nikimuona magufuri hata kama ameungua vip nitamuongezea kuni aungue zaidi.

Magufuri alikuwa zaidi ya shetani.

Fikiria Leo police wanasema wamewakamata na kuwaiwa panya road ndani ya siku moja.

Tundu Lissu tangu apigwe risasi ni miaka mitano hata panya mmoja hajahojiwa.
 
Mlipayuka hovyo na kudai kuwa hayati JPM alipenda megastructure ambazo hazina msaada wowote.

Mlisahau kuwa dadaja la wami la sasa ni dogo na kiusalama lilikuwa halifai.

Leo mtaenda kula X mass huko kaskazini huku mkipita juu ya hilo daraja jipya mmekanyaga kibati 130km/hView attachment 2361027
Huyu Mbowe na makamanda uchwara wenzake wa ufipa hawajielewi.
 
Alijenga kwa hela ya mama yako anayolipa kodi. Alisimamia matumizi mazuri ya kodi zetu zikajenga daraja.

Sasa Nani Bora aliyelipa Kodi au anayetumia Kodi. Baadala muwasifu Wanachi kwa kulipa Kodi mmebaki kuwaabudu Viongozi wasioeleweka.
 
Back
Top Bottom