Mbowe na genge lako mliomchukia hayati Magufuli, mtaanza kwenda kula krismasi mkipita juu ya daraja la wami ambalo mlidai ni megastructure ovyo

Matusi ni jadi yako wewe
Kalififueni hilo dubwasha lenu mzikwe nyie puumbavu sukuma gang
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magufuli aliwaharibu machadema kisaikoljia!

Ona kama hii takataka!
 
Sio kupita kwenye daraja la wami tu. DIKTETA MAGUFULI hata kama angekuwa anatulipa mshahara bila kufanya KAZI Bado tungemchukia na mkulaani Kila hatua. Operation zake zilijaa UKATILI mkubwa Tena wa kutisha.

na mimi hivyohivyo ninavyomchukia mbowe
 
Daraja lilikuwa kwenye plan tangu wewe hujaja mjini
Nyoko zenu..hamkosagi neno..hata bwawa la nyerere lilikuwa kwenye plan since nyereee..ununuzi wa ndege ulikuwa kwneye plan since nyerere! Nyani ni nyani tu siku zote!
 
Aisee bado tunasafari ndefu , kwamba serikali kujenga daraja linalo unganisha watanzania TOKA Mikoa mingine tena KWa kodi zao ,nalo ni swala la kuwazodoa watu , hivi lini watz akili setu zitatukaa sawa?
 
Ndio kazi yao hawa genge la Hai.
 
Tunamshukuru aliyelijenga la zamani maana katuokoa miaka mingi, huyu kajipendekeza tu ili apate kupendwa na wachaga.
 
Wewe mbwiga huo mzimu wako ndiyo ulikuwa na chuki na Chadema na ndiyo maana yuko huko aliko. Daraja hilo ni kodi zetu.kama vipi mfuate huko jehanam usitujazie upuuzi wako humu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sio kupita kwenye daraja la wami tu. DIKTETA MAGUFULI hata kama angekuwa anatulipa mshahara bila kufanya KAZI Bado tungemchukia na mkulaani Kila hatua. Operation zake zilijaa UKATILI mkubwa Tena wa kutisha.

Tupe ushahidi
 
Hivi wee kuku wa kienyeji najua hulipi kodi na ni mwizi wa kodi kupitia tozo huna mamlaka ya kukejeli walipa kodi mafi wee. Magufuli alijenga kwa hela ya mamayo?
 
Hebu niletee sehemu ambayo Mbowe au mbunge wa Chadema alisema hilo daraja la Wami halifai kujengwa
Maana nyie mazombi mwendazake mmekuwa mataahira kabisa
 
Wewe Pusi, kwani limejengwa kwa pesa za ukoo wao?
Hili daraja kwa taarifa yako hata mkandarasi alipatikana wakati wa JK!
Tatizo nyie sukuma gang mnaamini sana ktk majigambo, kusifiwa, kukuzwa na kuabudiwa!
 
Kwani alitumia pesa yake mfukoni au ya watanzania??? acha upumbavu
 
Nonsensical reply. Sasa mbona hamkutekeleza mpaka JPM alipotekeleza
Wewe jamaa ni mpumbavu sana na utaendelea kuwa hivyo kama yule punguani mwendazake chizi magufuli
Jakaya alijenga daraja kubwa kabisa la malagalasi la mto wa ruvuma la kirombero na mengine meeengi . Ulishawahi kusikia akijisifia popote?
Mkapa alijenga daraja la kihistoroa la mto Rufiji ulishawahi kusikia akiwananga wafuasi wa cuf huko kusini?
Huyo pungiani wenu kajenga kadaraja ka wami tu hapo tena lilopp linapitika( siyo kama ilivyokiwa Rufiji unakuja kunengua hapa kama Asha baraka?)
Ushamba mzigo sana
 
Mbona daraja liko kwenye Mpango Tokea hata Magufuli hajaanza kunyoa ndevu akiwa anacheza na makemiko hapo UDSM ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…