Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

Watu Kibao wana ulemavu kutokana na ajali za vyombo vya usafiri, na bado wanatumia vyombo hivyo hivyo kusafiria. Ni hivi, katiba mpya ni lazima fullstop.
Ulemavu wa ajali ni tofauti unaopatikana kwa kukaidi mamlaka....

Ngojea aende mtoto wa Mbowe na akipata hiyo ajali ya kisiasa utakuja kutusimulia hapa......
 
MATAGA mnajisahau sana hata kwenye mambo ya msingi. Ndio maana wanaotoka upinzani wanalamba vyeo huku mkiachwa solemba kama misukule. Jirekebisheni. Sisi tunajua ni dona kantri, huo uchumi mnaojenga ni upi?
 
Very soon mjusi atageuka nyoka..ndo watashika adabu
Ageuke tu NYOKA....Kama mafunzo hawayataki basi sisi tutayachukua kuwakanya ndugu zetu na vitoto vyetu pale vitakapokua in shaa Allah!
 
Lini Mbowe aliwatanguliza WATOTO WAKE katika MAANDAMANO ?!!!

Watoto wake si WATANZANIA?!!!

Wazee wa watoto wa wenzake hawana uchungu na watoto wao?!!!

Uchungu huo anao yeye tu ?!!!

Huyo jamaa hovyo sana.....

Nani huwa anaenda ofisini na watoto wake? Kwani watoto wa Mbowe lazima wafuate mitazamo ya Mbowe? Ww baba yako akiwa seremala ni lazima na wa seremala?

Hao viongozi wanaoagiza wanajeshi waende kwenye sehemu zenye vita, kwanini hawawatumi watoto wao? Hivi unaongea utoto gani dogo? Nyerere alivyokuwa anaenda kudai uhuru huko UNO, alikuwa anamtanguliza Makongoro?
 
MATAGA mnajisahau sana hata kwenye mambo ya msingi. Ndio maana wanaotoka upinzani wanalamba vyeo huku mkiachwa solemba kama misukule. Jirekebisheni. Sisi tunajua ni dona kantri, huo uchumi mnaojenga ni upi?
Wacha tu TUSILAMBE VYEO.....

Wala hatutoacha kukumbushana humu ndani.....

Teuzi hizo hazikuwagusa wanachadema WOTE sembuse sisi UVCCM tulio tele ?!!!

#KaziIendelee
 
We sidhani kama nikikuita Fala na Msenge naweza kupata dhambi.. Yaani Shetani kama yule aliyekawekwa madarakani na shetani mwenzie arudi tena kwenye ofisi ya umma.. Tena hata fala na Msenge ni tusi ndogo we unastahili kuitwa Ku*a
Mnamuogopa sana sabaya kuanzia mwenyekiti mlevi hadi nyie vimada wake. Mkisikia jina sabaya tu mnaanza kuloa
 
Nyerere hakuenda kuudai uhuru kwa "mitutu"......

Hapa tunazungumzia mifano iliyowakumbuka vijana wa CUF na yule binti pale Temeke.....

Sasa Mbowe anapata wapi ujasiri wa kuwaambia VIJANA wengine WAANDAMANE huko mikutanoni ?!!!

Mwalimu mzuri huanzia nyumbani....yeye hana watoto?!!

Mbona watoto wake hatujawaona wakaguswa kuandamana na VIJANA WENZAO ?!!!

Kwani maslahi ya hiyo KATIBA MPYA kipekee yanawahusu akina Selemani wa Mwakanga ?!!!

Hayo hayakutokea kwa hayati SEIF SHARRIF HAMAD wala hayatotokea kwa MBOWE.....

Mbowe alipata kusema "Sumu haionjwi".....nashangaa anataka ionjwe na VIJANA WASIO NA AJIRA HUMU MITAANI......

#KaziIendelee
 
Akipata cheo atahamasisha maendeleo, Ndesamburo alipohamasisha maendeleo mlimpatia hiyo katiba mpya? Kwa sasa Mbowe anadai katiba mpya kwanza, hutaki jinyonge.
 
Hujitambuai, mtumwa wa kale wewe
 
Umewapa za uso hawa CHADEMA. Mbowe hana mikakati yenye kuendana na wakati husika, hajabadilika.

Corona inaisumbua serikali, uchumi wa dunia nzima umedorora, watu wamepunguzwa makazini halafu Mbowe anakuja na siasa zisizo na kichwa wala miguu.

Corona imeanza mwaka jana, mbona hiyo katiba mpya haikupatikana kabla ya hapo, na ilikuwa kwenye ilani ya ccm?
 
Ulemavu wa ajali ni tofauti unaopatikana kwa kukaidi mamlaka....

Ngojea aende mtoto wa Mbowe na akipata hiyo ajali ya kisiasa utakuja kutusimulia hapa......
Mamlaka ya majizi ya kura?
 
Leo Kwa mara ya Kwanza nimemkataa mbowe na UJINGA wake wa kudai katiba mpya Kwa kuandamana......shukrani ya punda kabisa hii,mama amewafutia kesi zote na wengine kawatoa jela alafu Leo anakuja na kauli za kishamba za kuingia barabaran mbona kipindi cha mwendazake mbowe alitulia Tu?.

Leo Kwa mara ya Kwanza toka nizaliwe sijawahi kuponda chama changu Ila Kwa style hii nimeanza kuwadharau kabisaaa
 
Popoma katika ubora wake.Kwa Hiyo wewe unaunga mkono matendo ya ukandamizaji wa halo za Raia Kwa gharama ya Kuwa Chawa WA chama au mtu Fulani?
 
Mnamuogopa sana sabaya kuanzia mwenyekiti mlevi hadi nyie vimada wake. Mkisikia jina sabaya tu mnaanza kuloa
Wewe unajielewa kweli..? Jitu jambazi kama yule wann kwenye serikali yetu hii.. Yule alikuwa anafiti kipindi hicho wakati dikteta na mwizi mwenzio yupo hai
 

Nionyeshe mtoto wa Mandela aliyeuwawa na wazungu wa Afrika akidai usawa. Huko Afrika Kusini kuna walemavu kibao wa siasa zile za kikatili za makaburu, je siasa za kibaguzi zilipoisha na Mandela kukaa madarakani, watu wote walifaidika na madaraka yake binafsi?
 
Vyovyote iwavyo mkuu Tindo.....

Mwambie Mbowe AWATANGULIZE WANAE nanyi akina Bob Ubuze mtafuatia...
Watoto wa Mbowe ni wanachama wa ccm, atawatangulizaje wakati ccm hawataki katiba mpya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…