Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Ulemavu wa ajali ni tofauti unaopatikana kwa kukaidi mamlaka....Watu Kibao wana ulemavu kutokana na ajali za vyombo vya usafiri, na bado wanatumia vyombo hivyo hivyo kusafiria. Ni hivi, katiba mpya ni lazima fullstop.
Ngojea aende mtoto wa Mbowe na akipata hiyo ajali ya kisiasa utakuja kutusimulia hapa......