Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

Watoto wa Mbowe ni wanachama wa ccm, atawatangulizaje wakati ccm hawataki katiba mpya?
Unajipapatua tu mkuu Tindo....

Mbowe wanawe ni CHADEMA....

Yaani baba yao awafundishe watoto wa wengine kuutafuta "Uhuru wa pili" halafu apingwe na asieleweke na wanawe?!!!

Niletee tu ngojera za Makongoro Nyerere kuwa NCCR-MAGEUZI 🤣🤣
 
Katika historia ya uongozi Tanzania mara kila kiongozi anavyoshika madalaka matalajio na sifa zinakuwa nyingi ila baada ya miaka miwili tu watu wanakuwa wamechoka sababu katiba yetu inampa nguvu kubwa kiongozi kufikia ata kuvunja Sheria ili kuendelea kubaki madarakani

Na ndio mana chadema inaona swala la katiba ni muhimu kuanza nalo kuliko vyote kuliko kujenga uchumi ila ukweli ccm hawaitaki hiyo katiba
 
(1) Huyu jamaa amekuwa mwepesi wa kuandaa maandamano na kuwashawishi vijana waingie barabarani, lakini amekuwa mgumu wa kufika katika maandamano hayo na hawezi kuwashawishi ndugu zake au watoto wake washiriki katika maandamano hayo. (2) Huyu jamaa amekuwa mwepesi wa kuomba michango ya hela kutoka kwa wananchi na wanachama wa chama chake kwa madai ya kujenga ofisi za chama nk, lkn amekuwa mgumu kwa yeye mwenyewe kuwachangia hata watoto yatima au walemavu mbali mbali hapa nchini. (3) Huyu jamaa mekuwa mwepesi wa kuhamasisha vijana wadai katiba mpya nchini, lkn mgumu wa kuwashauri vijana wadai katiba mpya katika vyama vyao ambayo itawaruhusu wenyeviti wa vyama hivyo wakae katika uongozi kwa mihula miwili ya miaka mitano mitano pekee. Hii namba tatu naifananisha na ile style ya mwl Nyerere ambae amekaa madarakan kwa zaidi ya miaka 25 bila chama cha upinzani lkn alikuja kupigania demokrasia na uwepo wa vyama vya upinzani baada ya yeye kutoka madarakan, huenda Mbowe nae atakuja kudai mabadiliko ya katika ndan ya vyama baada ya yeye kutoka madarakan kama kweli atatoka. Asanteni sana.
 
Miguu ya vijana wa SA ilivunjwa wakiudai UHURU WA NCHI YAO....Uhuru wa kuishi....Uhuru wa KUTEMBEA BAADHI YA MAENEO....unafananisha visivyofanana....kwa hiyo huyu MBOWE huyu.......huyuhuyu MBOWE anapambania UHURU WA NCHI HII uliokwishapatikana TISA DISEMBA ?!!! 🤣🤣🤣

Rejea ulemavu wa akina BASHIRU ZEMBWE na MWENZAKE Saidi wa Tandale pale walipokuwa wanakipambania CUF....sijui nishani ya kuishi vyema wameifichia wapi !!!

Mkuu Tindo unauficha UHALISIA na kutanguliza HISIA eee?!!!
 
SAWA HATA UKIACHA MBOWE KWENDA NA WATOTO WAKE AJE MWENYEWE MBOWE AANDAMANE NA WAJINGA WENZIE UNAKUMBUKA LISSU ALISEMA WATU WAINGIE BARABARANI NA YEYE ATAKUWEPO HALAFU AKAWAKIMBIA? UZURI KWAMBA HAKUNA HATA MTU ALIYEMSIKILIZA KWENDA KUANDAMANA NI UJINGA USIO NA KIFANI HELA YA KULA HUNA UNATAFUTA TATIZO LAKUKUFANYA USHINDWE HATA KUTOKA KWENDA KUTAFUTA? AIBU KWENU TUNAWACHORA TU MTAKAVYOPIGWA VIRUNGU NA WAWAVUNJE HADI VIUNGO VYA UZAZI
 
HAO NDIYO MASHABIKI MAANDAZI
 
Yaani mataga jana moja tu chadema kuwa na kikao mnabwabwaja sana ,inaonyeshea jinsi gani mlivyokua dhaifu na waoga, na bado joto la siasa halijakolea
 
Mama kashasema anajenga uchumi , sasa yeye Mbowe na misukule yake kama wanaona wao ni zaidi ya mama wafanye huo ujinga wao wa kuendesha mikutano yao tofauti na maelekezo ya mama, halafu utajua dawa ya mtu Mbishi ni nini? Hakuna Rais anaetaka kuchezewa sharubu mwambieni Mbowe athubutu aone
 
Muda ukifika hakuna wa kuzuia
 
Muda ukifika hakuna wa kuzuia
Muda gani ?!!

Kama hayo yatafika itakuwa ni sababu ya watanzania wenyewe tu...Wala sio MAANDAMANO ya kuitishwa na "MWENYEKITI WA SACCOS NA GENGE LAKE".

WATANZANIA NI WEREVU ZAIDI YA MNAVYOWACHUKULIA.

Mitaani vijana wanahurstle kupata fedha ya "kubeti"....atakayeandamana AMEKUJA juzi Dar es salaam.
 
Chadema ya Leo imeishiwa agenda

Rather than kutaka maandamano..
Chadema ya sasa inafanya maamuzi yake kwa kufuata mawazo ya mtu mmoja tu ambae ni mwenyekiti. Lisu yeye ni kubwabwaja tu lkn hakuna mtu anaefata anachosema.
 
Alimuona magufuli mpumbavu sasa nasemaje? nitaandamana mbowe we sema suu mimi sio chadema na sijawahi kuipenda chadema ila nataka nimuonyeshe samia hiyo democrasia anayoiamini awafurahishe na kuwapa chadema katiba sasa si kila kitu anataka kusifiwa?

Niliwahi kuandika wanamchora huyu mama kitendo cha kuwaachia hawa mafisadi ni fimbo nzuri sana kwa upinzani magufuli hakua mjinga kutumia njia aliyotumia kudeal na yeyote kwenye utawala wake.
 
Muda gani ?!!

Kama hayo yatafika itakuwa ni sababu ya watanzania wenyewe tu...Wala sio MAANDAMANO ya kuitishwa na "MWENYEKITI WA SACCOS NA GENGE LAKE"....
SASAHIVI WATANZANIA WANA AKILI SANA SIYO KWAKUSHINIKIZWA KUANDAMANA UJINGA HUO HAUPO
 
(1) Huyu jamaa amekuwa mwepesi wa kuandaa maandamano na kuwashawishi vijana waingie barabarani, lakini amekuwa mgumu wa kufika katika maandamano hayo na hawezi kuwashawishi ndugu zake au watoto wake washiriki katika maandamano hayo...
Huyu jamaa.
Huyu jamaa.

Huyu jamaa kamwe hawezi kuwatanguliza wanawe WANAOISHI KAMA WAKO MAMTONI....kamwe hawezi kuwatanguliza wanawe WANAOKULA BATA....kamwe kamwe.

Alipata kusema "sumu haionjwi"....leo anataka akina SEFU NA NDENZO wa Mbagala WAIONJE MAANDAMANONI.
 
Sijui huyu jamaa yupoje

Yeye ni kiki na kiki na yeye

Mama amewajibu kistaarabu kwamba mumpe muda tena amewaomba lakini kiburi kinakupanda...
Wathubutu waone tutapiga kama Mbwa, maana lugha nyepesi hawaelewi sasa ni wakati wa kichapo
 
(1) Huyu jamaa amekuwa mwepesi wa kuandaa maandamano na kuwashawishi vijana waingie barabarani, lakini amekuwa mgumu wa kufika katika maandamano hayo na hawezi kuwashawishi ndugu zake au watoto wake washiriki katika maandamano hayo...
Mbowe ni muhuni tu anataka aje waangushie jumba bovu wenzie akitoka uwenyekiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…