Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Unajipapatua tu mkuu Tindo....Watoto wa Mbowe ni wanachama wa ccm, atawatangulizaje wakati ccm hawataki katiba mpya?
Mbowe wanawe ni CHADEMA....
Yaani baba yao awafundishe watoto wa wengine kuutafuta "Uhuru wa pili" halafu apingwe na asieleweke na wanawe?!!!
Niletee tu ngojera za Makongoro Nyerere kuwa NCCR-MAGEUZI 🤣🤣