Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

Beny mkuu wangu usiandamane banaa.....

Kamanda MULIRO yupo.....

Mwishowe "pang'ang'a zikizidi" basi mbinu za AWAMU YA 5 ndio "last resort" ha ha ha 🤣
 
Wathubutu waone tutapiga kama Mbwa, maana lugha nyepesi hawaelewi sasa ni wakati wa kichapo
Mkuu Niko na vijana wenzangu hapa BUZA....wanasema HATUTOANDAMANA....tunaogopa KUVUNJWA VIUNO NA MIGUU....
 
Beny mkuu wangu usiandamane banaa.....

Kamanda MULIRO yupo.....

Mwishowe "pang'ang'a zikizidi" basi mbinu za AWAMU YA 5 ndio "last resort" ha ha ha [emoji1787]
NAAANDAMANA MKUU HIYO IMEISHAA NASUBIRIA TAMKO LA MBOWE INGAWA SIJAWAHI KUA MFUASI WAKE ILA SASA INANIBIDI NIFANYE HIVYO ILI SAMIA AJUE GHARAMA ZA DEMOCRASIA NI NGUMU MNOOO MAGUFULI HAKUWA MJINGA. JOYCE BANDA WA MALAWI ALIKABIDHI NCHI KWA UPINZANI YULE MWANAMKE WA LIBERIA ALIKUA WORD BANK ALIKABIDHI NCHI KWA UPINZANI NI WAKATI WA CCM KUAGA TARATIBU SAMIA AKIKABIDHI NCHI KWA UPINZANI TATIZO ANAENDESHWA NA MZEE WA MSOGAAA
 
Mkuu shusha pumzi kaka....

Mh.Samia atasikia kilio chako....
Mh.Samia ataenenda kwa VITENDO dhidi ya "wajingajinga"......

Usisahau kamanda MULIRO kajaa tele DIZIM 🤣🤣
 
Hao anaowategemea mbona walishindwa kumuokoa dikteta Magufuli asife kizembe
 
Hao anaowategemea mbona walishindwa kumuokoa dikteta Magufuli asife kizembe
Kuna mtu awezaye kuzuia kifo chake na cha mwenzake ?!!!

Meku Umeshalewa Mbege mdandamoni eee?!!!
 
Akipata cheo atahamasisha maendeleo, Ndesamburo alipohamasisha maendeleo mlimpatia hiyo katiba mpya? Kwa sasa Mbowe anadai katiba mpya kwanza, hutaki jinyonge.
labda ahamasishe kuandika katiba mpya ya CHADEMA.
anadhani awamu ya 6 ni kitonga ehh! atasubiri sana labda 2040 kama uzima upo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmefanya maamuzi ya busara maana vijana wa FFU hawajapasha viungo mda mrefu, naona Kama Chadema wana walazimisha hivi kuwachapa
Mkuu nimekupata ....

Kwani wale jamaa wa FFU wanatandika mno mkuu....

Yaani hao jamaa sitaki hata kukutana nao KIUBISHI....jamaa wanakong'oli kama KM wa Magereza 🤣🤣
 
Wewe mzee wewe! Umerudi tena kwa ile ID yako ya kificho siyo! Hatujakusau na nitaanzisha thread ya kukuumbua siku za karibuni. Ngoja nitafute nilipohifadhi ushahidi, wa ile siku ya Jumapili ulipojichanganya ukatumia ID zote mbili kwenye kujibu member.
 
Hizi ni nyuzi mbili tofauti na kila moja inajitegemea kwa hoja zake. Lakini cha kushangaza wahusika wameuchanga na mungine kwa sababu zao binafsi bila kuangalia utofauti wa nyuzi hizi. Kwa style hii demokrasia mitandaoni bado sana. Ningewaona wa maana kama uzi huu mngeuhamishia jukwaa la siasa lakini sio kuuchanga na mungine wenye maudhui na mada tofauti.
 
Tangu uhuru bado mnainua uchumi tu, huo uchumi huwa mnauinua kwenye mifuko yenu tu....
 

Nyerere alipopeleka wanajeshi Uganda alikuwa yuko mstari wa mbele kila siku? Hao viongozi wa ccm wanaoagiza wananchi wapigwe, mbona wao hawajitokezi kuja kupiga wananchi, bali wanatuma vyombo vya dola? Polisi wakae pembeni kisha watuaache na hao wanaccm tukutane face to face, kisha uje ulete mrejesho.

Hiyo ni kanuni ya kawaida kabisa, kocha haingii uwanjani kucheza zaidi ya kufundisha na kutoa miongozo ya ushindi. Kipi huelewi hapo, japo unaandika kwa herufi kubwa tu?
 
Habari wakuu

Mimi nimekuwa nafuatilia hotuba za kibabe za mbowe kudai katiba mpya ,huku bila kupepesa macho wala kujali anamwambia nani ,amesema mikutano ya hadhara anaenda kufanya ,cha mhimu tusubili tarehe ya mikutano hiyo ..!


Ameenda mbali na kusema ,iwe kwa Shari au heri lazima katiba mpya mchakato uanze vinginevyo ataingiza watu barabarani ..!

Mimi Niko mtaani sioni watu ambao wanaweza kuingia barabarani zaidi ya hawa keyboard warrior wa humu jf wana type huku wapo vyumbani kwao ,wengine sebuleni wamelala .
!

Mbowe anatest kina cha maji kwa kuingiza miguu yote miwili

Uzi tayari
 
Wewe punguani kweli mimi niwe na ID's nyingi za nini? Waambie Mods kama ninazo hizo ID's waipige ban hii.

Baaada ya kushindwa hoja unakuja hoja ya Id.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…