Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
🤣🤣MBOWE NI MUHUNI TU ANATAKA AJE WAANGUSHIE JUMBA BOVU WENZIE AKITOKA UWENYEKITI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣MBOWE NI MUHUNI TU ANATAKA AJE WAANGUSHIE JUMBA BOVU WENZIE AKITOKA UWENYEKITI
Beny mkuu wangu usiandamane banaa.....Alimuona Magufuli mpumbavu sasa nasemaje? NITAANDAMANA MBOWE WE SEMA SUU MIMI SIO CHADEMA NA SIJAWAHI KUIPENDA CHADEMA ILA NATAKA NIMUONYESHE SAMIA HIYO DEMOCRASIA ANAYOIAMINI AWAFURAHISHE NA KUWAPA CHADEMA KATIBA SASA SI KILA KITU ANATAKA KUSIFIWA? NILIWAHI KUANDIKA WANAMCHORA HUYU MAMA KITENDO CHA KUWAACHIA HAWA MAFISADI NI FIMBO NZURI SANA KWA UPINZANI MAGUFULI HAKUA MJINGA KUTUMIA NJIA ALIYOTUMIA KUDEAL NA YEYOTE KWENYE UTAWALA WAKE
Mkuu Niko na vijana wenzangu hapa BUZA....wanasema HATUTOANDAMANA....tunaogopa KUVUNJWA VIUNO NA MIGUU....Wathubutu waone tutapiga kama Mbwa, maana lugha nyepesi hawaelewi sasa ni wakati wa kichapo
NAAANDAMANA MKUU HIYO IMEISHAA NASUBIRIA TAMKO LA MBOWE INGAWA SIJAWAHI KUA MFUASI WAKE ILA SASA INANIBIDI NIFANYE HIVYO ILI SAMIA AJUE GHARAMA ZA DEMOCRASIA NI NGUMU MNOOO MAGUFULI HAKUWA MJINGA. JOYCE BANDA WA MALAWI ALIKABIDHI NCHI KWA UPINZANI YULE MWANAMKE WA LIBERIA ALIKUA WORD BANK ALIKABIDHI NCHI KWA UPINZANI NI WAKATI WA CCM KUAGA TARATIBU SAMIA AKIKABIDHI NCHI KWA UPINZANI TATIZO ANAENDESHWA NA MZEE WA MSOGAAABeny mkuu wangu usiandamane banaa.....
Kamanda MULIRO yupo.....
Mwishowe "pang'ang'a zikizidi" basi mbinu za AWAMU YA 5 ndio "last resort" ha ha ha [emoji1787]
Mkuu shusha pumzi kaka....NAAANDAMANA MKUU HIYO IMEISHAA NASUBIRIA TAMKO LA MBOWE INGAWA SIJAWAHI KUA MFUASI WAKE ILA SASA INANIBIDI NIFANYE HIVYO ILI SAMIA AJUE GHARAMA ZA DEMOCRASIA NI NGUMU MNOOO MAGUFULI HAKUWA MJINGA. JOYCE BANDA WA MALAWI ALIKABIDHI NCHI KWA UPINZANI YULE MWANAMKE WA LIBERIA ALIKUA WORD BANK ALIKABIDHI NCHI KWA UPINZANI NI WAKATI WA CCM KUAGA TARATIBU SAMIA AKIKABIDHI NCHI KWA UPINZANI TATIZO ANAENDESHWA NA MZEE WA MSOGAAA
Mmefanya maamuzi ya busara maana vijana wa FFU hawajapasha viungo mda mrefu, naona Kama Chadema wana walazimisha hivi kuwachapaMkuu Niko na vijana wenzangu hapa BUZA....wanasema HATUTOANDAMANA....tunaogopa KUVUNJWA VIUNO NA MIGUU....
Mbona waoga sana nyinyi [emoji23]Hakuna JOTO lolote mtakalokoleza.....
Mh.Rais atazitumia tu zile mbinu za AWAMU YA 5......
#KaziIendelee
Hao anaowategemea mbona walishindwa kumuokoa dikteta Magufuli asife kizembeWanaukumbi,
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1. Katiba Mpya au kupambana na 2. Janga la Corona na 3. Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini?
Sisi Watanzania tumechagua muhimu 2 na 3.
Mbowe na wafuasi wako mnachekesha sana hivi mnataka rais wetu afuate mnachotaka nyie kwa maslahi yenu?
Rais akitumia madaraka yake kama katiba unavyomtaka mtaanza tena kulia kuwa Tanzania hamna demokrasia.
Nakushauri Mbowe, zile pesa mlizorudishiwa na mahakama jengeni ofisi kwanza ondokeni Ufipa mlilpopanga vyumba viwili hamna Mtanzania anaweza kuwaamini wewe na kundi lako.
Muoga Mdude.....Mbona waoga sana nyinyi [emoji23]
Kuna mtu awezaye kuzuia kifo chake na cha mwenzake ?!!!Hao anaowategemea mbona walishindwa kumuokoa dikteta Magufuli asife kizembe
labda ahamasishe kuandika katiba mpya ya CHADEMA.Akipata cheo atahamasisha maendeleo, Ndesamburo alipohamasisha maendeleo mlimpatia hiyo katiba mpya? Kwa sasa Mbowe anadai katiba mpya kwanza, hutaki jinyonge.
Kuzuia nini?Muda ukifika hakuna wa kuzuia
Mkuu nimekupata ....Mmefanya maamuzi ya busara maana vijana wa FFU hawajapasha viungo mda mrefu, naona Kama Chadema wana walazimisha hivi kuwachapa
Wewe mzee wewe! Umerudi tena kwa ile ID yako ya kificho siyo! Hatujakusau na nitaanzisha thread ya kukuumbua siku za karibuni. Ngoja nitafute nilipohifadhi ushahidi, wa ile siku ya Jumapili ulipojichanganya ukatumia ID zote mbili kwenye kujibu member.Wanaukumbi,
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1. Katiba Mpya au kupambana na 2. Janga la Corona na 3. Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini?
Sisi Watanzania tumechagua muhimu 2 na 3.
Mbowe na wafuasi wako mnachekesha sana hivi mnataka rais wetu afuate mnachotaka nyie kwa maslahi yenu?
Rais akitumia madaraka yake kama katiba unavyomtaka mtaanza tena kulia kuwa Tanzania hamna demokrasia.
Nakushauri Mbowe, zile pesa mlizorudishiwa na mahakama jengeni ofisi kwanza ondokeni Ufipa mlilpopanga vyumba viwili hamna Mtanzania anaweza kuwaamini wewe na kundi lako.
SAWA HATA UKIACHA MBOWE KWENDA NA WATOTO WAKE AJE MWENYEWE MBOWE AANDAMANE NA WAJINGA WENZIE UNAKUMBUKA LISSU ALISEMA WATU WAINGIE BARABARANI NA YEYE ATAKUWEPO HALAFU AKAWAKIMBIA? UZURI KWAMBA HAKUNA HATA MTU ALIYEMSIKILIZA KWENDA KUANDAMANA NI UJINGA USIO NA KIFANI HELA YA KULA HUNA UNATAFUTA TATIZO LAKUKUFANYA USHINDWE HATA KUTOKA KWENDA KUTAFUTA? AIBU KWENU TUNAWACHORA TU MTAKAVYOPIGWA VIRUNGU NA WAWAVUNJE HADI VIUNGO VYA UZAZI
Wewe punguani kweli mimi niwe na ID's nyingi za nini? Waambie Mods kama ninazo hizo ID's waipige ban hii.Wewe mzee wewe! Umerudi tena kwa ile ID yako ya kificho siyo! Hatujakusau na nitaanzisha thread ya kukuumbua siku za karibuni. Ngoja nitafute nilipohifadhi ushahidi, wa ile siku ya Jumapili ulipojichanganya ukatumia ID zote mbili kwenye kujibu member.