Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

😁😁 Ni kama Paskali Mayalla alikuwa na id mbili na ile ya Pasco, kuna siku akajichanganya akaacha signature, tokea wakati huo akawa hathubutu tena kutumia ile ya Pasco, maana ilikuwa ni ya kuwaponda serikali na ccm. Muweke wazi huyo mzee muhuni.
 
Huu msemo unaosema uoga wako ndo umaskini wako una maana sana, nchi za ulaya waliuana sana hadi kufikia ustaarabu walio nao leo. Hata vitabu vya dini vinasema hakuna jitihada unayoweza kufanya ikarefusha uhai wako walau kwa sekunde moja kama siku imefika. Maisha ya binadamu wa sasa ni ubatili mtupu, ni bora kumtumikia Mungu....take it from me!
 
Sawa tuoneni majuha....

Kwani FFU anahusika na SHUGHULI za UCHUMI....za halali na za haramu kama "hao waliojiunganishia bomba la mafuta"?!!!!
 
Kwa hiyo TUUANE ili tuwafikie ULAYA ?!!!

Mkuu hivi mtu kutojihusisha na SIASA ZA MAPAMBANO ndio kuwa maskini ?!!!
Maskini Binafsi na ngazi ya femili ?!!!

Tunakula.....
Tunalala vibandani mwetu....
Tunapeleka vitoto vyetu shule za Kata.....

Unataka niwe TAJIRI nikipambana na wenye nguvu....Serikali ?!!!

Pambana MWENYEWE.....

NILIPELEKWA SHULE KUFUNDISHWA NADHARIA NA VITENDO....

ENDELEA TU KUISHI KINADHARIA.....

Binafsi ninamtumikia Mungu kwa kuwatafutia WANANGU DONA NA DAGAA huku nikifanya ibada zangu na kusubiri tu hatima yangu.....

Pambana tu mkuu...
Pambana tu na Serikali....🤣🤣
 

Mkuu wanaobeza juhudi za katiba mpya ni wasiojielewa au wenye maslahi na iliyopo.

Wasiojielewa - hao ni elimu. Wenye maslahi - hao hamna haja ya kupoteza muda wala nguvu kwenye marumbano:

 
Watu wanaofaidi keki kama wewe lazima utoe misemo kama hii kuwahadaa wengine......hahaha, ila ndo akili hiyo mkuu.
 
Sawa tuoneni majuha....

Kwani FFU anahusika na SHUGHULI za UCHUMI....za halali na za haramu kama "hao waliojiunganishia bomba la mafuta"?!!!!

Wanahusika na kupiga wapinzani wasio na silaha tu?
 
Wanahusika na kupiga wapinzani wasio na silaha tu?
Mkuu Tindo FFU kazi yao iko wazi kabisa.....

"FANYA FUJO UONE"....

FUJO ZOZOTE ZINAZOHUSISHA RAIA NA ZISIZO VITA VYA SILAHA....
 
Wekeni na ninyi mdahalo wa imani yenu ya kutotaka katiba mpya ili raia tuwapime kwa hoja.
Wenzenu chadema wametoa hoja tayari sasa tunasubiri za vijana wa ccm kwenye hadhara sio mafichoni mwa ID kama mnavyofanya humu.
 
Unajua Mbowe, hiyo ni tabia yake kutisha watu alishawahi kuwafukuza Chadema, Kitila Mkumbo, Zitto, Kafulila, kisha walihoji katiba ya Chadema. Leo anamtisha raia eti anataka katiba mpya.

Teh teh teh
Hatiahwi ndo keshaambiwa hivyo.
 
Watu wanaofaidi keki kama wewe lazima utoe misemo kama hii kuwahadaa wengine......hahaha, ila ndo akili hiyo mkuu.
Keki ipi mkuu ?!!

Mimi Jumbe Brown ninaishi USWAZI...maisha yangu ni "mzobwemzobwe tu"....

Hata ukiniona jinsi nilivyo utashangaa kwanini naitetea Serikali...unaweza hata kunicheka 🤣

Kubwa tu ni kuwa nina uelewa kiasi... wa maisha ya kitaa na HURSTLE ZA WANADARISALAMA....

Mkuu ndio maana VIJANA WENGI wakitoka mikoani na kujiunga na CHUO KIKUU UDSM huwa moto sana na HARAKATI ZA "opposition political parties"....wakishamaliza huwa TOFAUTI.....HUBADILIKA....

Wale ambao HAWABADILIKI basi maisha yao huwa humo SIASANI(ajirani)..mfano makao makuu pale "UFIPA STREET".....

Ama ana uwezo wa kiuchumi na "anaaspire" kugombea nafasi za UONGOZI KAMA UBUNGE huko upinzani......

HUI NDIO UKWELI.....

Hivi unadhani akina komredi Patrobass Katambi si wazalendo kuhamia CCM?!!!

Akina Lijualikali ,Lusinde?!!

Kwa hiyo WALIOBAKI ACT NA CHADEMA ndio pekee vijana WAZALENDO ?!!! 🤣🤣🤣

Masumbuko Lamwai alitiwa njaa na MAVYETI YAKE akasalimu AMRI.....

Masheikh wa UAMSHO wamesalimu AMRI.....

MBOWE alisalimu AMRI kipindi cha AWAMU YA 5....🤣huyo ANAMBEEP TU mh.SSH......
 
Wekeni na ninyi mdahalo wa imani yenu ya kutotaka katiba mpya ili raia tuwapime kwa hoja.
Wenzenu chadema wametoa hoja tayari sasa tunasubiri za vijana wa ccm kwenye hadhara sio mafichoni mwa ID kama mnavyofanya humu.
Sisi HATUITAKI KATIBA MPYA.....
Sisi HATUIHITAJI KATIBA MPYA....


ILIYOPO inajitosheleza.....

Muhimu KUISIMAMIA TU.....

#KaziIendelee
 
Basi sawa, wacha tuendelee kuuinua huu uchumi na kupambana na covid-19,21........
 
Wapumbavu ndio wanafikili kuwa mbowe hiyo itakua Mara yake ya kupambana Na serikali kandamizi.
Muulizeni jk, jpm Na sasa ni suluhu.
Mwendo ni uleule
 
wewe mtanzania ndo umechagua ivo usitusemeh wengine
 
Mbowe, ni Mwenyekiti wa Chadema zaidi ya miaka 18, hataki kumuachia mtu yeyote uongozi, cha kuchekesha anataka katiba mpya.
 
Wapumbavu ndio wanafikili kuwa mbowe hiyo itakua Mara yake ya kupambana Na serikali kandamizi.
Muulizeni jk, jpm Na sasa ni suluhu.
Mwendo ni uleule
Mbowe anapambana na nani acheni kujipa sifa za kijinga, kashindwa kupambana na yule muhuni Sabaya.

Unajua kama Mbowe alishawahi kugombea urais akapata kura laki 4.

Mimi namjua Mbowe toka DJ ni msanii alichofaniliwa ni kuwashikia akili watu kama nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…