Watu wanaofaidi keki kama wewe lazima utoe misemo kama hii kuwahadaa wengine......hahaha, ila ndo akili hiyo mkuu.
Keki ipi mkuu ?!!
Mimi Jumbe Brown ninaishi USWAZI...maisha yangu ni "mzobwemzobwe tu"....
Hata ukiniona jinsi nilivyo utashangaa kwanini naitetea Serikali...unaweza hata kunicheka š¤£
Kubwa tu ni kuwa nina uelewa kiasi... wa maisha ya kitaa na HURSTLE ZA WANADARISALAMA....
Mkuu ndio maana VIJANA WENGI wakitoka mikoani na kujiunga na CHUO KIKUU UDSM huwa moto sana na HARAKATI ZA "opposition political parties"....wakishamaliza huwa TOFAUTI.....HUBADILIKA....
Wale ambao HAWABADILIKI basi maisha yao huwa humo SIASANI(ajirani)..mfano makao makuu pale "UFIPA STREET".....
Ama ana uwezo wa kiuchumi na "anaaspire" kugombea nafasi za UONGOZI KAMA UBUNGE huko upinzani......
HUI NDIO UKWELI.....
Hivi unadhani akina komredi Patrobass Katambi si wazalendo kuhamia CCM?!!!
Akina Lijualikali ,Lusinde?!!
Kwa hiyo WALIOBAKI ACT NA CHADEMA ndio pekee vijana WAZALENDO ?!!! š¤£š¤£š¤£
Masumbuko Lamwai alitiwa njaa na MAVYETI YAKE akasalimu AMRI.....
Masheikh wa UAMSHO wamesalimu AMRI.....
MBOWE alisalimu AMRI kipindi cha AWAMU YA 5....š¤£huyo ANAMBEEP TU mh.SSH......