Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

Wanaukumbi,

Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1. Katiba Mpya au kupambana na 2. Janga la Corona na 3. Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini?

Sisi Watanzania tumechagua muhimu 2 na 3.

Mbowe na wafuasi wako mnachekesha sana hivi mnataka rais wetu afuate mnachotaka nyie kwa maslahi yenu?

Rais akitumia madaraka yake kama katiba unavyomtaka mtaanza tena kulia kuwa Tanzania hamna demokrasia.

Nakushauri Mbowe, zile pesa mlizorudishiwa na mahakama jengeni ofisi kwanza ondokeni Ufipa mlilpopanga vyumba viwili hamna Mtanzania anaweza kuwaamini wewe na kundi lako.
Hivi wapuuzi bado wapo JF?
 
Mbowe naona ameridhika sasa na wawakilishi wake Bungeni ndo maana hajaongea lolote huhusu hao, anaanza kuleta story za katiba ili wasahaulike.
Sasa Rais SAMIA SULUHU kasema umpe muda, wewe hutaki, fanya unalotaka sasa uone kitakachokukuta. si unataka kuvuruga haya twende kazi.
 
Ni vema muda huu 2021-2025 utumike kutoa Elimu ya Katiba kwa watanzania; ni muhimu sana watanzania kujua Katiba ni nini na umuhimu wake kabla ya kuwahamashisha kuipigania.
Wakipata Elimu ya Katiba wataipigania wenyewe hata bila kuhamasishwa.
 
Ma

Matapeli ndo yanataka katiba mpya kwa nguvu,
Wananchi wanataka maisha yao yawe vizuri tu, hayo mambo y katiba hayawahusu.
Kwani nao wanataka vyeo?
Aisee! Watanzania wengine akili mmezifungia wapi? Very sad.
 
Wanaukumbi,

Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1. Katiba Mpya au kupambana na 2. Janga la Corona na 3. Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini?

Sisi Watanzania tumechagua muhimu 2 na 3.

Mbowe na wafuasi wako mnachekesha sana hivi mnataka rais wetu afuate mnachotaka nyie kwa maslahi yenu?

Rais akitumia madaraka yake kama katiba unavyomtaka mtaanza tena kulia kuwa Tanzania hamna demokrasia.

Nakushauri Mbowe, zile pesa mlizorudishiwa na mahakama jengeni ofisi kwanza ondokeni Ufipa mlilpopanga vyumba viwili hamna Mtanzania anaweza kuwaamini wewe na kundi lako.
Sasa hivi tupo uchumi wa kati wa viwanda. Mnataka twende mpaka uchumi wa juu wa marekani?
 
Mchakato wa Katiba mpya utaanza 2024 June, wakati Mh. Mwenyekiti Mbowe atakuwa amestaafu nafasi ya Uenyekiti.
⏳⌛♋
 
Sasa hivi tupo uchumi wa kati wa viwanda. Mnataka twende mpaka uchumi wa juu wa marekani?
“Madai ya Katiba tutadai asubuhi, mchana hadi usiku, kama wanataka tukae mezani turidhie kama wasiporidhia tutakutana Barabarani, hatutoridhia kushiriki Uchaguzi wowote bila kuwa na Katiba au Tume ya Uchaguzi”
Tukutane barabarani
 
Hodi tena humu.
Nimekuwa nikifuatilia vuguvugu la madai ya Katiba mpya inayodaiwa na baadhi ya wananchi na hasa vyama vya upinzani.
Lakini pia kunajitokeza hoja za baadhi kupinga vuguvugu la madai ya Katiba mpya kwa hoja mbali mbali ikiwemo kwamba sio kipaumbele cha kitaifa.
Binafsi niko njia panda.
Kabla sijaamua kama nisimame upande gani, naomba mnielimishe yafuatayo:-
1.Ili mtu uamue kufanya jambo fulani, ni lazima kwanza ujue faida na hasara zitakazoletwa na matokeo ya ya jambo utakalolifanya.
Kwa kuwa faida za kuwa na Katiba mpya inayotokana na maoni ya Wananchi zimekuwa zikitolewa na wengi na zinaeleweka,naomba mnieleweshwe kwa kina hasara tutakazopata kama taifa ukiachilia mbali gharama za mchakato wa kupata hiyo katiba.
2.Naomba pia nieleweshwe ni nani hasa wataathirika kwa kiwango kikubwa endapo Katiba inayotokana na maoni ya Wananchi itapatikana.
Nikipatiwa majibu muafaka kwenye haya mawili, pengine yatanisaidia, pamoja na wengine wasiokuwa na ufahamu kama mimi kuamua kusimama upande gani.
Naomba kuwasilisha.
 
Una tatizo la kutokujiamini,wewe fanya yako na wao waache wachangie wao kama wao,unataka kuwapangia?
Siwapangii lakini policy ya JF inapinga masuala ya ubaguzi wa kidini/ukabila na hatespeech. Ssa mtu anakuja na mada eti Mbowe anampinga Samia kisa ni Muislam!! Seriously? Kwani JPM alikua Muislam pia?

Udini haupaswi kushabikiwa
 
Hivi Samia hamuulizi hata JK kilichomtokea?

Kwamba aliwapa uhuru wa kufanya kila kitu hadi juice za ikulu walikunywa ila wakienda majukwani wanamwita dhaifu?
the truth is huwez kupendwa na wote. probablynhata ndani ya ccm wapo wanamdharau rais.
lakin eti kuwabana kisa walifanya jambo fulan huko nyuma huko ni kuish kwenye past
 
Kenya waliandika katiba nyingine imewasaidia Nini? Ufisadi Kila Kona.
Au Mbowe unataka posho za kwenye tume ya katiba
Hivyi upinzani wanaamini ikibadilika watachukua nchi?🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩😘
 
Hawa jamaa wapumbav sana watu tushapata tulizo la moyo wao kazi yao kuharibu,safari hii kitaumana tutawakataa kama ukoma umbwa hawa[emoji2959][emoji2959][emoji2959]
 
Wananchi wanauliza Mbowe ni Mfalme Chadema? Kila siku kiongozi ni yeye atakayejaribu kugombea anafukuzwa chama alikuwepo wakati wa Mkapa, Kikwete, Magufuli, Samia, halafu anataka katiba daaah

Ww kapiganie katiba ya cdm, sisi tunapigania ya nchi.
 
Ww kapiganie katiba ya cdm, sisi tunapigania ya nchi.
Hamna haja kupigania Katiba wakati rais kaishasema wazi kuwa watanzania wampe muda watapata katiba.
 
Back
Top Bottom