Lissu aliwasilisha kwa Katibu Mkuu taarifa rasmi ya kuondoa kusudio la kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti tangu mwezi wa 8 lengo likiwa ni kuja kugombea uenyekiti.
Tarehe 10 Dec 2024 Mbowe na Lissu walifanya mkutano wa pamoja, siku hiyo Mbowe alikuwa na taarifa na chama kilikuwa na taarifa za Lissu kugombea uenyekiti.
Leo takribani miezi minne imepita Lissu anatangaza kugombea nafasi ya Mwenyekiti, huo muda ulitosha sana kwa chama kupanga atoke vipi.
Inawezekana kabisa hii ikawa ni mipango ya chama Lissu asigombee Umakamu ili aje kugombea nafasi ya Mwenyekiti.