Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Kitu ambacho ccm hawakijui ni kuwa bora Mbowe kuliko Lissu. Akishinda Lissu katibu anakuwa Heche... yaani tunarejea kwenye zile siasa za mchamchaka! Mara piiipoooz! Maaandamano na movements for change!Kelele za ndani na nje ya chama zilizidi sana, kuwa chama hakina demokrasia wakasema isiwe tabu, Mbowe dikteta isiwe tabu, tunamtaka Lissu haya, kelele kwishinei.
Kwa sasa kumepoa sana hadi watekeji wanapata umaarufu!