Nilitaka kuandika uzi kama wakoLissu aliwasilisha kwa Katibu Mkuu taarifa rasmi ya kuondoa kusudio la kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti tangu mwezi wa 8 lengo likiwa ni kuja kugombea uenyekiti.
Tarehe 10 Dec 2024 Mbowe na Lissu walifanya mkutano wa pamoja, siku hiyo Mbowe alikuwa na taarifa na chama kilikuwa na taarifa za Lissu kugombea uenyekiti.
View attachment 3175180
Leo takribani miezi minne imepita Lissu anatangaza kugombea nafasi ya Mwenyekiti, huo muda ulitosha sana kwa chama kupanga atoke vipi.
Hii ni mipango ya chama ilijadiliwa na chama imekamilika, kama hujui kusoma hata picha huoni.
😅Unauthibitishia umma Mwenyekiti hajanuna??
Kelele za ndani na nje ya chama zilizidi sana, kuwa chama hakina demokrasia wakasema isiwe tabu, Mbowe dikteta isiwe tabu, tunamtaka Lissu haya, kelele kwishinei.Unauthibitishia umma Mwenyekiti hajanuna??
Amenuna sana, lakini afanyeje? Upepo ukivuma, umevuma.Unauthibitishia umma Mwenyekiti hajanuna??
Naamini roho yake inamwambia."..Mangi,kwa Lissu Chama kiko salama..."Unauthibitishia umma Mwenyekiti hajanuna??
Ndiyo maana juzi Mbowe aliwapiga kijembe wachokonozi wanaosema kuwa kuna mgogoro kati yake na Lissu kuhusiana na uenyekiti,Mbowe alisema watulie kwani mambo yanapikwa ndani kwa ustadi mkubwa akamalizia kwa kicheko sana.Lissu aliwasilisha kwa Katibu Mkuu taarifa rasmi ya kuondoa kusudio la kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti tangu mwezi wa 8 lengo likiwa ni kuja kugombea uenyekiti.
Tarehe 10 Dec 2024 Mbowe na Lissu walifanya mkutano wa pamoja, siku hiyo Mbowe alikuwa na taarifa na chama kilikuwa na taarifa za Lissu kugombea uenyekiti.
View attachment 3175180
Leo takribani miezi minne imepita Lissu anatangaza kugombea nafasi ya Mwenyekiti, huo muda ulitosha sana kwa chama kupanga atoke vipi.
Hii ni mipango ya chama ilijadiliwa na chama imekamilika, kama hujui kusoma hata picha huoni. Watakuja kujua hawajui karibu kunakucha.
Mwenyekiti sio muajiriwa, hana mshahara ila katibu na watendaji wa makao makuu wana mishahara. Mwenyekiti ni "posho"mshahara wa mwenyekiti chadema ni around 6m.
lazima watokee wagombea zaid ya 5
Hii ni mipango ya chama ilijadiliwa na chama imekamilika, kama hujui kusoma hata picha huoni. Watakuja kujua hawajui karibu kunakucha.📌🔨Lissu aliwasilisha kwa Katibu Mkuu taarifa rasmi ya kuondoa kusudio la kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti tangu mwezi wa 8 lengo likiwa ni kuja kugombea uenyekiti.
Tarehe 10 Dec 2024 Mbowe na Lissu walifanya mkutano wa pamoja, siku hiyo Mbowe alikuwa na taarifa na chama kilikuwa na taarifa za Lissu kugombea uenyekiti.
View attachment 3175180
Leo takribani miezi minne imepita Lissu anatangaza kugombea nafasi ya Mwenyekiti, huo muda ulitosha sana kwa chama kupanga atoke vipi.
Hii ni mipango ya chama ilijadiliwa na chama imekamilika, kama hujui kusoma hata picha huoni. Watakuja kujua hawajui karibu kunakucha.
Kitu pekee duniani kinachosemaGA ukweli ni muda. Wacha muda uongee maana hata sisi humu tuliishawahi kusema Lissu atagombea uwenyekiti Chadema wavimba macho wakabisha. Lissu mwenyewe ameishasema hadharani mara nyingi hatagombea uwenyekiti Chadema na kumbukumbu zipo. Lakini muda umesema ukweli na utaendelea kusema ukweli!Lissu aliwasilisha kwa Katibu Mkuu taarifa rasmi ya kuondoa kusudio la kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti tangu mwezi wa 8 lengo likiwa ni kuja kugombea uenyekiti.
Tarehe 10 Dec 2024 Mbowe na Lissu walifanya mkutano wa pamoja, siku hiyo Mbowe alikuwa na taarifa na chama kilikuwa na taarifa za Lissu kugombea uenyekiti.
View attachment 3175180
Leo takribani miezi minne imepita Lissu anatangaza kugombea nafasi ya Mwenyekiti, huo muda ulitosha sana kwa chama kupanga atoke vipi.
Hii ni mipango ya chama ilijadiliwa na chama imekamilika, kama hujui kusoma hata picha huoni. Watakuja kujua hawajui karibu kunakucha.
Ccm ni mapumbavu toka uhuru fomu ya mwenyekiti ni Moja Leo mnajadili chadema empty brainAmenuna sana, lakini afanyeje? Upepo ukivuma, umevuma.
NB: Upinzani wa Tanzani ni kituko na kioja haswa!
Na taarifa mmepewa na nani?Nilitaka kuandika uzi kama wako