Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Kitu ambacho ccm hawakijui ni kuwa bora Mbowe kuliko Lissu. Akishinda Lissu katibu anakuwa Heche... yaani tunarejea kwenye zile siasa za mchamchaka! Mara piiipoooz! Maaandamano na movements for change!Kelele za ndani na nje ya chama zilizidi sana, kuwa chama hakina demokrasia wakasema isiwe tabu, Mbowe dikteta isiwe tabu, tunamtaka Lissu haya, kelele kwishinei.
HahahaNa taarifa mmepewa na nani?
HahahaCcm ni mapumbavu toka uhuru fomu ya mwenyekiti ni Moja Leo mnajadili chadema empty brain
Nchi imetetemeka- chadema a talk of town.CHADEMA imethibitisha ukubwa na uimara wake!
Toka jana Mkuu umekua mnyonge sana, umepoaaaaUsimuamshe aliyelala
CHADEMA imethibitisha ukubwa na uimara wake!
Hakuna mtu anafanya drama Lissu yupo serious Mbowe yupo serious na chama pia kiko serious.Hakuna haja ya drama zote hizo.
Jamaa anautaka uwenyekiti na yupo serious this time mbowe ajiandae kwa upinzani mkali.