Mbowe na Wapinzani wengine walikosea sana, Watanzania sio wakupiganiwa, ni kuwaacha kama walivyo

bora watu wakose pesa ila wapate peace of mind.
hakuna kuuana, hakuna watu kupotea, watu hawadhulumiwi fedha zao, bomoabomoa za upendeleo hazipo na mengi mengi

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
pesa mlizotengeneza kwa kukwepa kodi zilipochukuliwa ndio ilikuwa mnaonewa ila
kukwepa kodi kwenu ilikuwa sahihi?
 
Hao wote walikuwa na chuki na JPM waulize vipi wamefanya nini tokea afariki! Wanabaki kufarijiana! Wapuuzi sana eti peace of mind huku una njaa!
Zaidi wamezidi kunyooshwa😂😂😂 tena raundi hii ni bila ganzi
 
In short Tanzania hakuna upinzani Bali wapo waganga njaa
 
bora watu wakose pesa ila wapate peace of mind.

Majizi ya vyeti mnalamba asali sasa hivi ndio maana mko na PEACE OF MIND.

Lambeni asali. Mkuu wenu wa ELIMU DUNI Chief Hangaya kawatupia jicho la huruma.
 
Nadhani kwasasa wameamua kukaa kimya,tujionee wenyewe,maana wakijitoaga kutupigania,wanabezwa.
Statement ime sum ukimya wao. Huwezi ipqgania jamii isiyojitambua. Acha wanyooshwe
 
Wewe hata watoto wako huna uwezo wa kuwapigania. Acha waliojaribu kujitoa kwa ajili ya watu wasifiwe. Mtu anaitisha maandamano kudai haki zenu mnajifungia ndani mlataka afanye nini?
Mleta mada uko sahihi, watuache tunyooshwe hatujitàmbui.
 
Kabisa yani ndio maana sasa maisha ni rahisi sana!

Mafuta sawa na bure, bidhaa za vyakula sawa na bure,

Dhalimu alituonea sana. Tumefungua nchi. tunaokota hela mtaani.

Anaelalamikia hizo bei ni sukuma gang huyo

Zipande kisawasawa ili mradi dhalimu hayupo.
 

Nani amekuambia nchi hii kuna mwanasiasa (wa upinzani au wa chama tawala) anampigania mwananchi wa kawaida?

Tangu mwanzo Mbowe na wenzake wanasukumwa na maslahi yao na ya familia zao!
 
Kabisa yani ndio maana sasa maisha ni rahisi sana!

Mafuta sawa na bure, bidhaa za vyakula sawa na bure,

Dhalimu alituonea sana. Tumefungua nchi. tunaokota hela mtaani.

Anaelalamikia hizo bei ni sukuma gang huyo
mkuu acha USENGELEMA
 
Kwa Mkristo soma Biblia ujue yaliyomkuta Yesu. Alipingia Yerusalemu watu aliowaponya, akawapa chakula, akawahubiria habari njema, walimuimbia Hosana Hosana na vigelegele vingi kama Mfalme. Siku moja baadae si walimgeuka wakasema afadhali yule jambazi Baraba aachiwe huru, lakini Yesu asulubiwe!
Walimuogopa Kaisari.
Hivyo ndivyo watu walivyo bwana.
 
Unazungumzia Mbowe gani? Ila kama huyu wa chini hapo kafanye homework yako tena.
 
Naunga mkono hoja hata mimi nashauri hivyo watanzania wamekuwa mazuzu,hakuna haja wa kuwatetea wanachi maana hawaonyeshi kujitambua kila mtu abebe msalaba wake,viongozi wa Chadema wamejithidi sana wengine wamepata vilema vya kudumu,wengine wameuwawa,wengine wamefilisiwa kwa ajili ya kutetea lakini hatuonyeshi ushirikiano,nashauri wakale maisha na familia zao kila mtu ajipange kivyake hakuna rangi hatutaona tulishindwa kutumia kura yetu ipasavyo
 
Hyo ndio hulka yetu kiasiri sisi watanzania na huoga pia unachangia ,wanasiasa wanatumia ukimya wetu plus uoga kama fursa kuamua wanalotaka ila ipo siku narudia ipo siku mana hakuna marefu yasiyo nawisho.
 
Acha kulialia hapa. Kama kweli unawajali watanzania si uwatetee wewe? Umeambiwa Mbowe kazaliwa ili akutetee wewe huku umekaa nyuma ya keyboard ukivimbisha mtumbo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…