Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

"I think that the legitimacy of the court would be undermined in any case if the court made a decision based on its perception of public opinion" - Author: Samuel Alito

Ni matumain yangu freeman Mbowe na wenzake leo watakua huru upande wa haki lazima tushinde ... inshallah

kwa sasa safarini uholanzi.

Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu au Hapana

Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya kujibu au hawana ni leo 18 Februari 2022 ambapo Jaji Tiganga anatarajiwa kutoa maamuzi hayo katika mahakama kuu ya Uhujumu Uchumi na Rushwa.

Kujua kesi ilipoishia fungua kiunganishi hiki: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022

=========

UPDATES

1157hrs: Freeman Mbowe na wenzake, bado hawajafikishwa Mahakamani. Kesi itaanza kusikilizwa saa nane za Mchana.
Kama itaanza mchana saa nane inamaana itakwisha usiku wa manane, duh!
 
Wakimaliza hii kesi wasisahau kutuambia gharama zote za kumkamata mtuhumiwa na kuendesha kesi ni sh. ngapi. Kwa kesi za mchongo kama hizi kwa nini deni la taifa lisizidi kuongezeka
 
1645179799919.png

1645179881850.png

1645179923147.png

Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu au Hapana.

Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya kujibu au hawana ni leo 18 Februari 2022 ambapo Jaji Tiganga anatarajiwa kutoa maamuzi hayo katika mahakama kuu ya Uhujumu Uchumi na Rushwa.

Kujua kesi ilipoishia fungua kiunganishi hiki: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022

=========

UPDATES

1230hrs: Freeman Mbowe na wenzake, bado hawajafikishwa Mahakamani. Kesi itaanza kusikilizwa saa nane za Mchana.

1330hrs: Freeman Mbowe na Wenzake wamefikishwa mahakani.
 
JIBU LITAKUJA MOJA TU WATUHUMIWA WANAKESI YA KUJIBU ILI MCHONGO WA KUPIGA PESA UENDELEE
 
Back
Top Bottom