Hivi jamani mzee Halima mapesa yumo humu au hata Esta madola nani kawaona!?
Kama itaanza mchana saa nane inamaana itakwisha usiku wa manane, duh!Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu au Hapana
Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya kujibu au hawana ni leo 18 Februari 2022 ambapo Jaji Tiganga anatarajiwa kutoa maamuzi hayo katika mahakama kuu ya Uhujumu Uchumi na Rushwa.
Kujua kesi ilipoishia fungua kiunganishi hiki: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022
=========
UPDATES
1157hrs: Freeman Mbowe na wenzake, bado hawajafikishwa Mahakamani. Kesi itaanza kusikilizwa saa nane za Mchana.
Saa 8mchanaJamani hukuma tayari au bado?
Ili msilete vuruguKama itaanza mchana saa nane inamaana itakwisha usiku wa manane, duh!
Hajawai kushitakiwaHangaya anaweza kuwa na hizo sifa kuliko Mbowe!
Leo hakuna kesi, jaji atasoma maelezo na kutoa hukumu kama gaidi ana kesi ya kujibu atarudi jela kama Hana kesi ya kujibu ataachiwa.Kama itaanza mchana saa nane inamaana itakwisha usiku wa manane, duh!
Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu au Hapana.
Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya kujibu au hawana ni leo 18 Februari 2022 ambapo Jaji Tiganga anatarajiwa kutoa maamuzi hayo katika mahakama kuu ya Uhujumu Uchumi na Rushwa.
Kujua kesi ilipoishia fungua kiunganishi hiki: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022
=========
UPDATES
1230hrs: Freeman Mbowe na wenzake, bado hawajafikishwa Mahakamani. Kesi itaanza kusikilizwa saa nane za Mchana.
1330hrs: Freeman Mbowe na Wenzake wamefikishwa mahakani.
JIBU LITAKUJA MOJA TU WATUHUMIWA WANAKESI YA KUJIBU ILI MCHONGO WA KUPIGA PESA UENDELEEMahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu au Hapana.
Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya kujibu au hawana ni leo 18 Februari 2022 ambapo Jaji Tiganga anatarajiwa kutoa maamuzi hayo katika mahakama kuu ya Uhujumu Uchumi na Rushwa.
Kujua kesi ilipoishia fungua kiunganishi hiki: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022
=========
UPDATES
1230hrs: Freeman Mbowe na wenzake, bado hawajafikishwa Mahakamani. Kesi itaanza kusikilizwa saa nane za Mchana.
1330hrs: Freeman Mbowe na Wenzake wamefikishwa mahakani.
100%Ikionekana tu idadi ya manjagu ni wengi eneo la mahakama, basi majibu ya Jaji yatakuwa Mbowe ana kesi ya kujibu...