Mchakato wa mahakama ni mrefu sana na una hatua nyingi kila hatua ni muhimu kwa sababu kuna kusoma na kueleza mwanzo paka mwisho.
Ila jaji leo amekua mvivu wa kusoma, kafanya ruling kwamba mbowe na wezie wana kesi ya kujibu wa jiendae kujitetea, ila kwa ushahidi upi? Ulio mshawishi Jaji kutoa maamuzi hayo kasoma kesi zao tano ila hajataja ushahidi alio zigatia kuja na maamuzi hayo, Mimi si mshabikiagi wa kesi ila najua Mahakamani kuna mengi sanaa hata kama huna hatia unajikuta umefungwa bure wanakuja kugundua umesha umia miaka kadhaa tuombe e hao watu haki itendeke