Ndu wa kweru
JF-Expert Member
- Nov 18, 2021
- 445
- 1,120
Atatoka tu mkuu,lini,saa ngapi ila atatoka tu.Huwezi shindana na dola.. Mliambiwa muombe radhi haya yapite mkashupaza shingo.
Kwa mtindo huu mkiendelea kujifanya wababe Mbowe atafungwa na hakuna kitu mtafanya..
Familia ya Mbowe imekubali kuingizwa mkenge na watu wana ulafi wa pesa za ukimbizi huko nje ya nchi na wengine mawakili wanaochangisha wanachama pesa na kujitajirisha..
Sio baba yako, hata akifungwa hutapoteza wala kupungukiwa chochote..Mbona kuna wafungwa na mahabusu lukuki magarezani na hawajapewa fursa ya kuomba radhi? Wapeni hiyo fursa basi msipendelee si mnasema binadamu wote ni sawa.Gaidi kama gaidi eti aombe radhi wakati wezi wa kuku tu wanaoza magerezani.
Yawezekana, ila bila huruma ya serikali anakula mvua kama Sabaya na hakuna Bavicha atafanya loloteAtatoka tu mkuu,lini,saa ngapi ila atatoka tu.
Endeleeni kujipa moyoHamna atakayefungwa hapo ni Ku by time tu ili isionekane kuwa chifu alipata msukumo Fulani ubeligiji
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Wenawe unajidaigi msomi kumbe binge la bogus kichwa boga!! Criminal procedure ndohakuna mashahidi? Mbona saa baya nimmoja wa mashahidi upande wa utetezi.... Empty head!!Huna lolote unalojua kuhusiana na criminal procedure. Wameshafunga ushahidi wao
Chukua ka tekno kako download crimina procedure act usome kifungu cha 230 utajua kinachotokea leo au siku ya leo ina mambo gani na usome kifungu cha 231 ujue nini kitakacho fanyika baadaye kama kesi itaendelea
Alimuua mama yako na baba yako.Mungu hasimamii wauaji ndugu. Muda wa Mbowe kujibia dhambi zake za uuaji umefika. Lazima avune sawasawa na alivyopanda
Hakuna haki itakayotendekà hapa, wamedhamiria kuwafunga.Mchakato wa mahakama ni mrefu sana na una hatua nyingi kila hatua ni muhimu kwa sababu kuna kusoma na kueleza mwanzo paka mwisho.
Ila jaji leo amekua mvivu wa kusoma, kafanya ruling kwamba mbowe na wezie wana kesi ya kujibu wa jiendae kujitetea, ila kwa ushahidi upi? Ulio mshawishi Jaji kutoa maamuzi hayo kasoma kesi zao tano ila hajataja ushahidi alio zigatia kuja na maamuzi hayo, Mimi si mshabikiagi wa kesi ila najua Mahakamani kuna mengi sanaa hata kama huna hatia unajikuta umefungwa bure wanakuja kugundua umesha umia miaka kadhaa tuombe e hao watu haki itendeke
Hawezi kukujibu Mkuu. Ndiyo ujue hakuna gaidi hapo. Unampaje gaidi nafasi ya kuomba msamaha?Mbona kuna wafungwa na mahabusu lukuki magarezani na hawajapewa fursa ya kuomba radhi? Wapeni hiyo fursa basi msipendelee si mnasema binadamu wote ni sawa.Gaidi kama gaidi eti aombe radhi wakati wezi wa kuku tu wanaoza magerezani.
Wewe mwenye mawe ndani ya kichwa chako fanya lolote tuone kama uko na kichwa kizurisikulaumu, nalaumu ule uji uko ndani ya kichwa chako
Mkuu niliuliza hapa kwanini mawakili wa mbowe wanauliza maswali mepesi watu wakanirukia.Kesi ilikuwa na ushahidi mzito sana ndio maana kelele zilikuwa nyingi kesi iendolewa pia mawakili kuuliza non sense questions unauliza kwanini mtuhumiwa alipewa chakula wakati anasafirishwa kweli,unamuuliza mpelelezi kama alienda kambi ya jeshi alipokuwa anafanya kazi mtuhumiwa sasa akafanye nini kwani anapeleleza kuthibitisha mtuhumiwa ni mwanajeshi au kuthibitisha kuwa amehusika na kutenda kosa.
🤣🤣🤣🤣🤣 unachekesha sana.Serikali inatafuta wale walioitunga hii kesi ya mchongo kwa udi na uvumba .
Ndiyo maana kesi hii namba 16/ 2021 inayowakabili Freeman Mbowe na wenzie 3 inaendelea ili wale wote waliohusika na njama za kuudanganya umma wote wa waTanzania na kuchafua sifa ya nchi kwa kutumia rasilimali za umma ikiwemo fedha za serikali na watumishi wa umma waweze kufahamika.
Walioitunga hii kesi ya mchongo wajitayarishe kuwajibishwa bila huruma kwa kufuata sheria zilizopo ili jambo na kashfa hii isiweze tena kutendeka ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.