Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Leo ni sku ya shetani kuanguka au kuangushwa tena.
Ee Baba wa Mbinguni Mungu, ukasimamie haki, madhalimu wakashindwe na uwakukumu kwa matendo yao maovu.
Vipi maombi yako yamesikilizwa au?,[emoji23][emoji23][emoji23] Shukrani zimwendee jaji anayesimamia kesi hii,Kama yumo humu naomba aje PM yangu nimpe ya bia[emoji23][emoji23][emoji23]
 
I Kwa namna Rais alivyojibu swali la mbowe la Soud wa DEUTCHEWELLE kwa kupaniki nilikua Najua tu kuwa bado ana kitu rohoni na anahisi itakua fedheha kwake mbowe kuonekana hana kesi ya kujibu
Lakini muhimu tumshauri Rais asibebe dhambi za kurithi ; hao watu wameteseka sana hasa hao commandos
asijitafutie dhambi bure
 
Najaribu kutafakari kwamba hizi issue mbili zinazo trend yaani kule Tundu Lisu kupata nafasi ya kuongea na Mama na huku leo maamuzi ya kesi ya Mbowe je matukio haya kwa hizi tarehe imetokea tu au mfumo unafanya kazi. NADHANI WAPO WANAONIELEWA
 
Lissu be like Unajua nini mama mi nautaka uwenyekiti we fanya kama una kama nati jamaa apoe kwanza
 
Jaji anataka kulazimisha mashahidi wa utetezi watajwe kwa majina ili jamhuri wakawasumbue na kuwatisha, huu ni muendelezo wa uhuni unaofanywa kwenye hii kesi.
Yaani unataka mashahidi wa utetezi wasijulikane ili wasitishwe?
Mahakama imeshatoa hukumu ndogo.Watuhumiwa wajitetee ili haki itendeke.
Mahakama ifanye maamuzi yake bila msukumo.
 
ukweli mtupu mama bado ana kiburi
 
Vipi maombi yako yamesikilizwa au?,[emoji23][emoji23][emoji23] Shukrani zimwendee jaji anayesimamia kesi hii,Kama yumo humu naomba aje PM yangu nimpe ya bia[emoji23][emoji23][emoji23]
Time will tell. Bado tunaamini Mungu na haki vita prevail
 
Yaani unataka mashahidi wa utetezi wasijulikane ili wasitishwe?
Mahakama imeshatoa hukumu ndogo.Watuhumiwa wajitetee ili haki itendeke.
Mahakama ifanye maamuzi yake bila msukumo.
Msiwateke ili siku yao ya kutoa ushahidi wao ikifika waonekane mahakamani, tusije kudanganywa wameingia mitini.
 
Mkuu niliuliza hapa kwanini mawakili wa mbowe wanauliza maswali mepesi watu wakanirukia.

Ushabiki unawatafuna watu wengi kwenye jukwaa hili. Watu hawatumii logical reasoning. Wanadhani perceptions na personal feelings ndiyo preponderance of the evidence!

Juzi niliwaonya mashabiki wa Mbowe kuwa kutarajia kwamba leo judge angekuja na no-case-to-answer ruling lilikuwa zoezi la kujipa matumaini hewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…