Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Hamna Judge hapo tafuteni majaji wa zamani ie Jaji Mnzava, Mchome , Msoffe,Mkwawa, Samatta na Othman wamsaidie kunyoosha kingreza na vifungu vya sheria
 
Mbowe hajakutwa na hatia. Amekutwa na kesi ya kujibu. Kwa mujibu au muono wa Jaji anaona ni kuwa kuna makosa yalifanywa na Mbowe. Tusubiri sasa wakati wakijitetea. Time will tell
Hayo ndiyo maelezo sahihi kabisa - kukutwa na shauri la kujibu si kukutwa na hatia! Ni kupata nafasi ya kujitetea au kuthibitisha kuwa mashitaka dhidi yako hayana ukweli. Ndiposa mwishowe huja hukumu ya kuachiwa huru au kutiwa hatiani.
 
Kumbuka mbowe ni kiongozi wa upinzani wa chama kikubwa.
Suala la usalama wake hakutakiwa kukurupuka ALITAKIWA awe makini sana.suala la kushirikiana na wanajeshi nilijua tu hilo lishakuwa tatizo hao sio wa kufanya nao mipango Kama hyo .
Wale watuhumiwa wanaoshitakiwa nao Mbowe si walishatoka jeshini,hebu pitia makampuni mengi ya ulinzi,baadhi ni wastaafu wa jeshi je nao hawaruhusiwi kufanya kazi za ulinzi katika makampuni binafsi
 
Hawataki kusikia hizo hbr mm Nina hamu ya kusikia utetezi swala kufungwa siafiki
Wacha wajitete tuone.
 

UVCCM hamjawahi kumiliki akili kichwani.
 
Wenawe unajidaigi msomi kumbe binge la bogus kichwa boga!! Criminal procedure ndohakuna mashahidi? Mbona saa baya nimmoja wa mashahidi upande wa utetezi.... Empty head!!
Itakuwa upunguani kumuita mtu anayekushtaki akutetee, ataibomoa kesi yako na kwa mzaha wako wa kufikiri utamdhalilisha kwenye doc mteja wako akaishia jela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…