Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Huu ndio ukweli hata kama hamtaki ukweli. Maana kama kuna kesi mtu anatuhumiwa nayo basi anatakiwa atoe majibu ya kisheria na kuthibitisha kuwa hizo tuhuma hazijafanyika.

Sasa habari za mayenu na kuimba mapambio na akina dada wa space ndio nini?

Muwe mnafuata ushauri acheni ubishi?
Kwa hatua hii basi ungana na wabambikiaji wenzio kusheherekea Kwa kuwa hatua ya kwanza yalengo lenu linetimia na Bado mnatunisha mifuko , huku kapu la mlipa Kodi likiendelea kupukutishwa
 
Wazee wa HASHTAG [emoji16][emoji16][emoji16].
Kuna wakati mpaka nawaonea huruma.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Jaji: Nimepitia vielelezo vyote vya upande wa mashitaka na utetezi. BILA KWENDA NDANI, Mahakama hii inaona kwamba upo ushahidi kwamba washitakiwa wana kosa la kujibu... Kwa maana hiyo natoa AMRI.

Hapa ndipo ujinga wa jaji nimeuona
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hii nchi mtu anaweza asiwe na ABC ya kitu chochote na akamuona mjinga mzoefu katika kazi fulani.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Jaji: Nimepitia vielelezo vyote vya upande wa mashitaka na utetezi. BILA KWENDA NDANI, Mahakama hii inaona kwamba upo ushahidi kwamba washitakiwa wana kosa la kujibu... Kwa maana hiyo natoa AMRI.

Hapa ndipo ujinga wa jaji nimeuona
Hilo lizee ni liboya sn
 
shida atakuwa huru vipi wakati.
Kuna mipango aliifanya akiwa na kamanda urio ambae ndo kaenda kumchoma?
Shida ipo hapo kwenye mahusiano na kamanda urio.
Sijui mbowe alijichanganya vipi kujenga urafiki na hao watu.
Na wenzie ndipo wanapombania.
Kesi itaisha na Mbowe atakuwa huru
 
Kama leo Mbowe na wenzake wangeachwa huru na mahakama kwa kutokutwa na kesi ya kujibu kungeibuka hoja nyingi sana ambapo hoja hizo zingelalia katika sehemu mbili:-
1. Kushinda kwa Tundu Antiphas Lisu
2. Kushindwa kwa Rais wa JMT Mh. Samia Suluhu Hassan

Hii ni kutokana na Hoja alizoziibua TAL baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Rais. Hivyo basi Mahakama itakuwa imeona ni vyema iwaachie baada ya Washtakiwa wote kujitetea ili kubalance mzani.
 
Back
Top Bottom